Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Apr 23, 2015 #81 Watu wana moyo wa jiwe, hausikii maumivu
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,840 Reaction score 2,332 Apr 23, 2015 #82 akili huna ! sasa ww hayo mambo yana kuhusu nn
C cellinityo-murdch Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 190 Reaction score 23 Apr 23, 2015 #83 when a lady fall in love she fall totaly. mungu aingilie kati enelea tu kumshauri labda iko siku atakusikia na kubadili uelekeo
when a lady fall in love she fall totaly. mungu aingilie kati enelea tu kumshauri labda iko siku atakusikia na kubadili uelekeo
C cellinityo-murdch Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 190 Reaction score 23 Apr 23, 2015 #84 when a woman fall in love she fall totaly lakini huyo kiboko ni mungu tu kuingilia kati , usichoke kumshauri labda ipo siku atabadilika gud luck
when a woman fall in love she fall totaly lakini huyo kiboko ni mungu tu kuingilia kati , usichoke kumshauri labda ipo siku atabadilika gud luck
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,234 Apr 23, 2015 #85 mmmmmm...na wewe naweeee...mbona mambo yao ya kawaida tu....mapenzi mengi yana changamoto zake lakini watu wanaishi...
mmmmmm...na wewe naweeee...mbona mambo yao ya kawaida tu....mapenzi mengi yana changamoto zake lakini watu wanaishi...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Apr 23, 2015 #86 sasa huu ni uwendawazimu ,, madushe yapo kila kona ya dunia anahudumia limzigo jitu zima hapana aisee.. mwambie aache utahira atakufa kabla kama ni genye atumie vidole tu
sasa huu ni uwendawazimu ,, madushe yapo kila kona ya dunia anahudumia limzigo jitu zima hapana aisee.. mwambie aache utahira atakufa kabla kama ni genye atumie vidole tu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Apr 23, 2015 #87 Freeland said: mmmmmm...na wewe naweeee...mbona mambo yao ya kawaida tu....mapenzi mengi yana changamoto zake lakini watu wanaishi... Click to expand... hii si changamoto ni n upoyoyo na uwenda wazimu hater
Freeland said: mmmmmm...na wewe naweeee...mbona mambo yao ya kawaida tu....mapenzi mengi yana changamoto zake lakini watu wanaishi... Click to expand... hii si changamoto ni n upoyoyo na uwenda wazimu hater
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,234 Apr 23, 2015 #88 miss chagga said: hii si changamoto ni n upoyoyo na uwenda wazimu hater Click to expand... mapenzi mama.....sasa hapa mahondaw anatakiwa awaachie mambo yao wao ndio wanaojuana vyema....hakuna asiye na marosoroso kwenye mahusiano yake
miss chagga said: hii si changamoto ni n upoyoyo na uwenda wazimu hater Click to expand... mapenzi mama.....sasa hapa mahondaw anatakiwa awaachie mambo yao wao ndio wanaojuana vyema....hakuna asiye na marosoroso kwenye mahusiano yake
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Apr 23, 2015 #89 Freeland said: mapenzi mama.....sasa hapa mahondaw anatakiwa awaachie mambo yao wao ndio wanaojuana vyema....hakuna asiye na marosoroso kwenye mahusiano yake Click to expand... hater maroso roso mengine ni ya kujitakia kabisa mbaya sana
Freeland said: mapenzi mama.....sasa hapa mahondaw anatakiwa awaachie mambo yao wao ndio wanaojuana vyema....hakuna asiye na marosoroso kwenye mahusiano yake Click to expand... hater maroso roso mengine ni ya kujitakia kabisa mbaya sana
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,234 Apr 23, 2015 #90 miss chagga said: hater maroso roso mengine ni ya kujitakia kabisa mbaya sana Click to expand... hamnaaaa...kwenye hii case umesikiliza upande mmoja....by the way kama mdada yuko comfortable ndio mapenzi yenyewe hayo
miss chagga said: hater maroso roso mengine ni ya kujitakia kabisa mbaya sana Click to expand... hamnaaaa...kwenye hii case umesikiliza upande mmoja....by the way kama mdada yuko comfortable ndio mapenzi yenyewe hayo