Kupelekwa Nairobi kwa Tundu Lissu kwa sababu za kiusalama kama alivyosema Makene ina maana gani?

Huyu anayehoji sana anajua ile barua ya ccm ya 7/8,anajua maandalizi ya hili tukio na anajua muhimbili waliandaa nini juu ya Lisu.mbona ameng'ang'ania sana apelekwe muhimbili?kwanini asaidie na kuratibu,wapi Lisu atibiwe ? Kwanini atake imani ya viongozi wake na yy juu ya muhimbili iwe imani ya mgojwa na wenyewe mgonjwa wao ? Lisu mmemuandama mpaka mmeomba idhini ya kumuua kwa magufuli,sasa mmeshindwa kumuua mnataka mkammalizie muhimbili ?mnaogopa nini au mnaumiaje akipelekwa Nairobi ? Nyie uweni upinzani tu,wapinzani waachieni maamuzi ya watu wao.marehemu wote wa ccm wanafia nje,wapinzani hawaja wahi hoji na kuomboleza kwanini hawakufia muhimbili ! Nyie kwanini muwe wema sana kwa matibabu ya wapinzani ? Ukisikia uchawi sasa ndo huu ! Kwanini huyu mtu hatulii ?lazima awe mmoja ama ktk mpango wa Lisu kuuwawa,au alishika bunduki kabisa ! Hawezi kuumia kiasi hiki na harakati za uhai wa Lisu.hatuna tu utetezi kwa upinzani ila huyu alikua wakuchunguzwa.Mungu nakushukuru sana ninapo ona adui yetu akijidhihirisha wazi kua wao ndo wahusika wa jaribio hili kwa kauli na matendo yao.zidi kuwaweka wazi siku hadi siku,na kutufunulia zaidi maovu wanayozidi kupanga dhidi yetu.usi wasazie kaba vinywani mwao waseme yote na wafanye yote ili wawe hatiani miyoyoni mwao kwa damu walizo mwaga na wasipate pumziko hadi hatua zote za kaini alizopitia zithibitike juu yao na wafe kifo kilekile cha kaini,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka ushahidi wako Polisi.
 
Pahali salama wapi ndani ya Ardhi ya Tanzania????
Kama Serikali haikuweza Kumhakikishia Usalama wake akiwa Mzima! itawezaji Kumhakikishia usalama wake akiwa Mgonjwa??
Serikali kweli itaweka escort ya Polisi kwa kila mtanzania Barabara? Hao Polisi ni wengi kiasi gani?
 
Eti viongozi na wananchi tuna imani na Muhimbili kuwa ni mahali salama kwa huduma za Afya.

Hivi Mkuu, unashindwa kujisemea wewe kama wewe?
Angepeekwa huko muhimbli ungesikiaa mara damu hakuna Ohh oxygen imekwishaa

Ova
 
Msemaji wa CHADEMA alipokuwa anajibu swali nmtangajizi wa BBC leo asubuhi alipoulizwa kwanini wameamua kumpeleka Nairobi alisema Tundu Lissu amepelekwa kupata huduma zaidi hospitali za Nairobi na si Muhimbili kwa sababu za kiusalama.

Najaribu kufikiri tu ni usalama UPI ambao Tundu Lissu angeukosa katika hospitali hasa Muhimbili ambalo ndilo angepelekwa?

Viongozi na wanainchi wote tuna imani na Muhimbili kuwa ni mahali salama kwa huduma za afya.

Lakini bado kila mmoja ana haki ya kuchagua wapi pa kupata huduma na ahudumiwe na nani pia.
itabidi ufikiri tena..
weeeewe Mtanzania weka mfano ulimwenguni...
amani upendo na ujamaaa wetu..
uzidi kudumu milele..
 
Lisu mwenyewe aliyepeleka ushaidi polisi kwa gari la polisi linalo mfuatilia alisaidiwa nini na hao polisi mpaka anapigwa risasi? Ndiko iliko hazina ya uovu wa ccm mpinzani apeleke nini asaidie ? Polisi wetu ni Mungu mtaona kifuatacho ccm ! Mnavyoweweseka hamjajigundua tu kua tunaye polisi kuliko hiyo wa ccm ? Mara tarehe za barua zenu,zinakaa kushoto,Mara muhimbili yote hii ni roho kutokua na amani kwa damu za wapinzani ! Tafakari,tubu acha kuuwa wapinzani,mataangamia tu haikwepeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi alivyosema anafatiliwa aliripoti polisi au aliripoti kwenye vyombo vya habari tu? Sijauliza kwa nia mbya jamani

Mbona wanamuita mchochezi anapohutubia kupitia vyombo vya habari?Kwanini wasimpuuzie kwakua hajaenda kusemea polisi?

Je angesema ataua mtu polisi wasingemkamata kisa hajasemea polisi?

Tuacheni siasa kwenye maisha ya watu jamani
 
Siku ya Tukio Bashite hakuonekana Dar. Hata kwenye hafla ya kupokea ripoti za bunge hakuwepo. Inasemekana alikuwa Dodoma kufanya yao kama walivyofanya kwa Roma.
 
Msemaji wa CHADEMA alipokuwa anajibu swali nmtangajizi wa BBC leo asubuhi alipoulizwa kwanini wameamua kumpeleka Nairobi alisema Tundu Lissu amepelekwa kupata huduma zaidi hospitali za Nairobi na si Muhimbili kwa sababu za kiusalama.

Najaribu kufikiri tu ni usalama UPI ambao Tundu Lissu angeukosa katika hospitali hasa Muhimbili ambalo ndilo angepelekwa?

Viongozi na wanainchi wote tuna imani na Muhimbili kuwa ni mahali salama kwa huduma za afya.

Lakini bado kila mmoja ana haki ya kuchagua wapi pa kupata huduma na ahudumiwe na nani pia.
nadhani wao sio wajinga hivyo ndo maana wameamua kumpeleka Nairobi na hiyo ni strong reason.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu mwenyewe aliyepeleka ushaidi polisi kwa gari la polisi linalo mfuatilia alisaidiwa nini na hao polisi mpaka anapigwa risasi? Ndiko iliko hazina ya uovu wa ccm mpinzani apeleke nini asaidie ? Polisi wetu ni Mungu mtaona kifuatacho ccm ! Mnavyoweweseka hamjajigundua tu kua tunaye polisi kuliko hiyo wa ccm ? Mara tarehe za barua zenu,zinakaa kushoto,Mara muhimbili yote hii ni roho kutokua na amani kwa damu za wapinzani ! Tafakari,tubu acha kuuwa wapinzani,mataangamia tu haikwepeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitudanganye bwana Tundu Lissu nakutoa taarifa popote pale Polisi zaidi ya kuongea na media tu.
 
ina maana usalama wa TL ndani ya Tanzania ni mdogo

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Back
Top Bottom