Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida.
Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha watoto kuweka angani mfano muwezi.
Wenzetu wana setelite ambazo zinashika mpaka mawasiliano wanayotaka na kumbukeni zina chip zao.
Mkaogopa kampuni ya starlink mkizani ndio itakuwa tatizo.
Wenzenu wana mavifaa mpaka bikini zenu na boksa zinaoneakana.
Nikikumbuka ila Kibiti na amboni tanga si mlijulishwa na wao.
Ni kikumbuka ubalozi wa marekani unalipuliwa mlikamata watu ovyo.Ila walipokuja wao kipande cha chuma ndio kili pata mtu mpaka wahusika.