Kupeana update za Lodge na Guest

pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
6,206
6,441
Habari za humu wakuu?

Niende moja kwa moja kwenye hoja baada ya kuanzishwa kwa uzi wa vituko vya gesti na lodge wadau walivyokutana navyo, nimeona ni vyema kuwepo na uzi wa kuhabalishana kuhusu mahali zilipo lodge, gesti kuanzia zile za bei ya chini hadi za juu na hali yake.

Hii itatusaidi hata sisi wenyeji wageni ambao tunasifiri kutoka mtaa moja kwenda mwïngine, kata moja kwenda nyingine, Wilaya moja kwenda nyingine na wale wa mkoa kwa mkoa. Nawasilisha wakuu.
 
Kumbe una uzoefu wa kutosha......hivi kuna watu huwa hawaendi makazini ijumaa?? Au inakuwaje?? Au wanasingizia kuwa wanakwenda kuswali????
Hakuna anaesingizia anaenda kuswali akaishia lodge,hiyo swala ni siku nzima??

Sema weekend inaanza ijumaa, hivyo kuna wanaoaga wanasafiri na kurudi makwao j3 jioni wakitoka job.
 
Uzi wa nini mzee baba, ukishuka tu mji wowote kamata bodaboda mwambie akupeleke lodge nzuri...
Mkuu kupata hints tu mbili tatu, mahali ipo bei yake na hali ya usalama maana unaweka ukapelekwa sehemu kumbe watu wa sehemu hiyo wanapiga chano, wezi na kuna kunguni sana
 
Lodge Kuna utamu wake.
Siku mchukue wait mpeleke lodge hata Kama Ni hapa hapa Mbagala.
Anza kwa kumtumia elfu ishirini ya vocha, Kisha muambia achukue bodaboda atakukuta hiyo sehemu, hakikisha hajavaa Dera. Akisha fika muagizie kuku wa kuvhoma na chips za kutosha halafu muagizie St Anne au bia zao zile laini laini. Hapo msiongee maneno ya nyumbani, uwe unamsifia kwa alivyoumbika na alivyo mpole na mchapakazi. UKIONA ameanza kulegea peleka yeye lodge.
Faida nyingine ya kumpeleka wait lodge Ni kwamba hamtatumia kondom, pili hutaulizwa umechelewa wapi au umekula wapi au mbona unanukia perfume au Leo mbona huombi mzigo n.k n.k
 
Lodge zote za Dar namaanisha Zote, Wahudumu wana connection na mademu wanaojiuza. Ni wewe na Hela yako tu. Ukihitaji huduma unaitiwa Chap
 
Halafu huu Ufala wa Kutuwekea Wahudumu Wanaume au wanawake Ambao siyo Pisi sijui wameutoa wap hawa Wamiliki wa Lodge na Gest za Dar. Natoa tamko mara Moja kwenu wamiliki wa Haya maeneo Badilikeni tuleteeni Wahudumu Wa kike na Pisi kali Kali
 
Wajinga kabisa wanaweka wazee. Ukifika nikuita babu Kuna vyumba
 
Kuna gesti moja iko Sinza jirani Kuna kijiwe Cha watoto wa mjini. Huyo mhudumu amefunga CCTV camera kwenye chumba kimoja ambacho hukiuza mchana kwa wapenda shot time.
Akiingia MTU na Malaya au mke wa MTU, mhudumu anawalipisha vijana wa kijiweni elfu moja moja waingie kwenye chumba kingine waangalie show.
Ukiingia kuona hizo show utagundua kwamba kweli Dar Kuna tatizo la nguvu za kiume na kweli kwamba wanawake wengi wanatoa barabara za vumbi kuliko za lami.
Mteja akimaliza show vijana wanawahi nje kumuinjoi demu akitoka especially Kama kapitiwa barabara ya vumbi.
 
Chai..au bia🍺🍺🍺
 
Sinza ipi
 
Guest za dsm asubuh had saa sita usiku huwa hawatoi full time Room. ni short time tu maana guest zimegeuka madanguro
 
Back
Top Bottom