Kupeana faraja na furaha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupeana faraja na furaha.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viol, Mar 7, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Wagonjwa wawili walikutana hospitalini,moja alikuwa amepata ajali ya miguu na mwingine alikuwa amepooza mwili.
  Wagonjwa hao walizoeana,walielezana na kuambiana mambo mengi ya kimaisha,kutiana moyo katika hali zao
  ngumu walizonazo.Aliyekuwa amepooza mwili kitanda chake kilikuwa karibu na ukuta na aliweza kuangalia nje kupitia dirishani,ila aliyepata ajali ya miguu kitanda chake kilikuwa upande ambao haukuwa na dirisha.Walikuwa wakikesha ndani bila kutoka nje kutoka na hali zao mbaya.Aliyepata ajali ya miguu alikuwa anamwuliza mwenzake kila siku kuhusu hali ya hewa huko nje na kila kitu kinachofanyika kwasababu mwenzake alikuwa analala karibu na dirisha.
  Ambaye alikuwa amepooza kila akihadithia hali ya hewa jinsi ilivyo huko nje mwenzake alikuwa akifunga macho huku akifanya imagination ya hali ya hewa na mambo mazuri aliyokuwa akihadithiwa.
  Aliyepooza huwa akiulizwa kuhusu huko nje alikuwa anaeleza ''Sasa hivi nimeangalia nje kupitia dirishani,nimeona bahari nzuri,bata wa kila rangi wanaogelea,naona familia nyingi zikifurahia maisha mazuri,naona wachumba wakiogelea na kupeana maua meupe na mekundu na kila aina ya rangi,wanafurahia upepo wa ufukweni,usijali mi na wewe ipo siku tutapona na tutafurahia kama wao'''
  Wakawa wanafurahia maisha ingali wagonjwa.Aliyekuwa amepooza akafariki,siku nesi alipokuja kuchukua mwili wa aliyefariki yule mwenye matatizo ya miguu akamwambia nesi naomba nipeleke kwenye kitanda cha mwenzangu,mana yeye alikuwa akinihadithia hali ya hewa nilikuwa nafurahi,mimi nataka niwe naangalia nje kupitia dirishani.Nesi akampeleka kwenye kitanda cha mwingine,cha kushangaa alipofungua dirisha na kuangalia nje zaidi ya kuona ukuta mkubwa mbele ya dirisha na hakuweza kuona kwingine.Akamwuliza nesi,inakwaje mwenzangu kila siku ananihadithia hali ya hewa nzuri na watu wakicheza ufukweni wakati mbele ya dirisha kuna ukuta wa jengo lingine kwa nje?Nesi akamwambia,mwenzako alikuwa kipofu na hakuweza kuona kabisa,kwa hiyo alikuwa anafanya hivo ili uwe na furaha.  Ujumbe.........wengi wetu tuna matatizo ila sisi tulio na mioyo ya uvumilivu na matumaini tuwe na mioyo ya kuwapa faraja na kuwafurahisha ambao wana mioyo laini na dhaifu kuliko sisi.
   
 2. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  imetulia hiyo message sent
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  inagusa moyoni . . . .
   
 4. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hiyo!
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkuu, nimepata funzo kubwa sana hapa, asante sana.
   
 6. a

  ammah JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  message imetulia mkuu
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Ndo hivo mkuu tuwajali wenye mioyo laini
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  inatouch sana
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu inafurahisha,inahuzunisha pia inatoa funza
   
 10. R

  Rev Fr KABOKA mchizi Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unafaa kuwa mwinjilisti. Karibu kanisani kwetu!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ndo maisha inavyoenda
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  inatoa fundisho pia
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kuhubiri kanisani ishu
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh, kondoo watapona?
  Au atakuwa na BBQ kila siku?

   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Itabidi unitafutie mama mchungaji ambaye ni mrembo kweli
   
 16. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimesisimka kweli
   
 17. JS

  JS JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nzuri na inafundisha
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  umesisimka wapi
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu inasikitisha pia
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mwili mzima
   
Loading...