Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

Tangu nimezaliwa na wazazi wangu(matokeo ya kishiriki tendo la ndoa) sijawahi kuona mambo yanayoongelewa katika dini yakadhihirika.
Kwa hiyo nitakapoona, nitasadiki
Sasa kama hufuatilii maandiko na mafundisho na hata kuhudhuria mikutano ya kidini utaelewa vipi yatendekayo kwa ukuu wa Mungu? Huoni kuna vifo? huoni wanawake huzaa kwa uchungu na huoni asiyefanya kazi hufa maskini kwani iliandikwa tutakula kwa jasho. Tena maandiko ya mwanzo kabisa haya ni machache kati ya mengi yasiyohesabika yanayopatikana katika maandiko.....
 
Em ngoja kidogo.... kwa hiyo wewe unaamini unayoambiwa na kufundishwa kuliko yale unayokutana nayo kiuhalisia????
 
hayo yote niliyoandika si tunayaona kwa macho ama wewe uko sayari gani labda!!

wakati mwingine ww ndo huelewi lolote kuhusu yale yaliyomo katika maandiko na kuhusianisha na yanatokea katika maisha yetu ya kila siku..

ama kikubwa ulitaka uone nn hasa?? coz it seems huelewi unachokiwaza ww mwenyewe..
 
Katika dunia hii tunayoishi wengi wao wanafki kwa iyo ili uende nao sawa inakubidi na wewe uwe mnafiki

Leo nimekaa nikafikiria sana kuhusu maisha halisia, nimegundua kuna haja ya kuokoka japo uhalisia hakuna kitu kinachoitwa Mungu,nimeamua kuigiza kuokoka kwa sababu zifuatazo

Moja: Ukiokoka una nafasi kubwa ya kukua kiuchumi maana fursa nyingi huwa zinapitia kanisani,pia mashirika mengi yanayotoa misaada huwa yanapitia humo kwa iyo ni rahisi sana kwa muokokaji kupata nafasi

Mbili: Ukiokoka unakua na nafasi kubwa ya kupata wanawake/wanaume wengi hivyo inakuraisishia kwenye kipengele cha ndoa maana kwa jinsi tulivoumbwa hasa upande wa wanaume tunapenda kua na mwanamke mwenye hofu ya Mungu maana mtu akisha kua na hofu ya Mungu mambo mengi atayafanya inavotakiwa kwa kuhofia kuchomwa moto

Tatu:Ni rahisi kuaminika katika jamii hii inakuja automatically watu wanaanza kukuamini maana wanajua kama unaweza kumfata Mungu usie mjua wao huwezi kuwaangusha koo inawawia rahisi kukuamini na thamani yako pia itaongezeka

Nne:ukiokoka una nafasi kubwa sana ya kupata uongozi mahala popote hili nadhani tumeshaliona sana kuna watu wamepata udiwani, ubunge n.k kwa sababu tu kuokoka kwao

Nisiwachoshe sana sababu zipo nyingi sana za kunifanya niokoke, kama kuna sehemu nimekosea nakubari marekebisho pia

note that "hakuna kitu kinachoitwa Mungu"

poleni na majukumu pia
 
#1. Umepotoka ndugu

Labda makanisa ya zamani, haya ya sasa uchumi unakua kwa mchungaji, mtume, nabii tu

Waumini njaa kali
 
Mimi nina mpango wa kuanzisha kanisa kabisa mwaka 2023 kama nitakua hai japo siamini uwepo wa mungu ila nitahubiri habari za kwenda kuishi mbinguni baada ya kufa.
Na kuwa huwezi kumuona mungu mpaka ufe.

Hakuna biashara rahisi na isiyo na hasara kama kueneza habari za uwepo wa mungu asiyeonekana ukiwa hai

Back
Top Bottom