Kupata ukimwi ni kiherehere chetu?

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,959
872
Jakaya Mrisho Kikwete alipowahutubia wananchi wa Songea kwenye kampeni zake alisema watu wanaopata ukimwi ni kutokana na kiherehere chao.Ni kweli haya?Sio matusi kweli?
 
Haya tena kila mwenye lake atamzulia JK iwe la kweli au la kuongezwa chumvi na ndimu.

Umesikia peke yako?
 
Sio Songea tu hata Kigoma ktk sherehe za kuzima mwenge alirudia usemi huo. Alikuwa anasisitizia matumizi ya kondomu :frusty::frusty:
 
Ni mtazamo wake na ndio uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo.
 
Mwambieni yeye kuangukaanguka ni kihelehele chake pia kutaka kukaa chini bila kuona kiti.
 
Back
Top Bottom