Kupata rafiki wa kweli si rahisi

Kupata rafiki wa kweli si rahisi

As people grow mnakua mnaenda direction tofauti shule tofauti mara mnahama and things like that. Na kupata a life time friend sio lazima uwe umesoma nae au umecheza nae. Mnaweza kutana ukubwani na mkawa the best of friends....kua na rafiki wa hivyo ni kama soulmate
Ni kweli,ingawa wengi wa ukubwani ni vichomi tu...ambao mmekutana kwenye mafanikio na wanakuwa pale kwa sababu ya mafanikio;muda wowote wanaweza kukutelekeza.
 
Ndugu wa kweli hakuna karne hii,ije kuwa rafiki,!!!![emoji849]someni nyakati wakuu
Hizi ndio dalili za kiama
Mpaka mvua zinagoma waumini wa dini mbali mbali wanasali kuomba mvua,hamjiongezi tu,,,!!!!![emoji1321]‍♂
Ni kweli kama ndugu wanageukana je rafiki itakuwaje....
 
Ni kweli,ingawa wengi wa ukubwani ni vichomi tu...ambao mmekutana kwenye mafanikio na wanakuwa pale kwa sababu ya mafanikio;muda wowote wanaweza kukutelekeza.
True that....Alafu betrayal ya rafiki uliyemwamini sana na kumpenda inauma kuliko ya mpenzi (mtazamo wangu). Sometimes najiona abnormal kwa kutokuwa na marafiki wa karibu/ best friend. Ila nikiwaza friendships nilizopata kuwa nao naona bora hivi.
 
Back
Top Bottom