Kupata picha za simu iliyoibiwa

Kupata picha za simu iliyoibiwa

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
Heshima kwenu wakuu,jana jioni kwa bahati mbaya sana niilibiwa simu yangu na kuna picha za muhimu sana,ningependa kujua kama kuna njia yoyote ambayo ninaweza nikazipata hizo picha simu yangu ilikuwa sony xperia miro,os:4.0.4(ice cream sandwich)
,kwa sasa nimeilock kwa kutumia avg,kwa hiyo hakuna atakayoweza kuitumia,kama kuna msaada wowote wa upatikanaji wa hiyo simu ambao naweza kuupata nitashkuru!!!!
 
Pole sana kiongozi, ngoja tusubiri wataalam wasaidie...

Kwani umeshindwa kui-track kwa AVG??
 
Kwanini ulipiga picha za utupu?
Nitawapa global na Rahatupu waturutupishe. Nitazuga ni zangu.
 
Tuache kupiga picha za utupu na video za ngono. Yaani naona mkuu unataka picha tu simu hautaki tena?
 
Usiwe na mawazo potofu, huenda ni picha za kawaida tu lakini za muhimu kwake. Nilishawahi kupoteza picha nyingi sana za mwanangu akiwa mdogo, ziliniuma sana zile picha; kuuanzia hapo nikawa nainstall Dropbox kwenye kila simu nayotumia. Btw, Mkuu kazy, fanya kama alivyokuelekeza bs0d. Hata hivyo kama umeifunga itakuwa ngumu kuipata kwa sababu hataweza kuiwasha na kuiweka online! Ungekuwa uliweka app ya Prey au Seekdroid ingekuwa rahisi zaidi kwani ungeweza kumtumia sms mwizi wako na kumwona kwenye ramani yuko wapi. Njia ambayo ni rahisi zaidi nenda Polisi kitengo cha Cyber Security wapatie IMEI yako (kama hauna imei waambie namba uliyokuwa unatumia wao watawasiliana na mtandao wako kupata IMEI), kwa kutumia IMEI hiyo wataangalia kwenye mitandao yote kuona ni nani anatumia hiyo siimu, hata kama atakuwa "ameiclean", IMEI ndiyo msema kweli labda afanye IMEI swapping kitu ambacho si rahisi sana kwa kibaka tu wa mtaani.
 
Last edited by a moderator:

Mwenzio anataka picha ww unaleta mbwembwe za iMei. Kibaka akiiuza hiyo ndo basi tena hakuna cha unlock. Inashughulikiwa kwenye Odin faster. Hata uende cybercrime ya samsung huipati ng'o.
 
Tunajaribu kujadiliana ni jinsi gani atazipata hizo picha, na kama hakuwa na cloud storage ambayo inasync picha zake automatically basi sioni njia nyingine isipokuwa aitie mkononi simu yake au kibaka awe na huruma amtumie kwa njia moja au nyingine. Hata ukiiflash na Odin bila kubadili IMEI amini nakwambia INAPATIKANA, labda atumie mitandao nje na ya bongo!!!!
Au wewe ulikuw ana mawazo tofauti MKUU?
 
si rahisi kupata picha hizo sahau,kwenye avg site wana service ya kuwasha gps na kujua mahali simu yako ipo kwenye google maps,ulivyo ilock unamuachia option ya kuiflash simu yako kwasababu hataweza kuitumia,akiflush biashara imeisha.
 
Usiwe na mawazo potofu, huenda ni picha za kawaida tu lakini za muhimu kwake. Nilishawahi kupoteza picha nyingi sana za mwanangu akiwa mdogo, ziliniuma sana zile picha; kuuanzia hapo nikawa nainstall Dropbox kwenye kila simu nayotumia. Btw, Mkuu kazy, fanya kama alivyokuelekeza bs0d. Hata hivyo kama umeifunga itakuwa ngumu kuipata kwa sababu hataweza kuiwasha na kuiweka online! Ungekuwa uliweka app ya Prey au Seekdroid ingekuwa rahisi zaidi kwani ungeweza kumtumia sms mwizi wako na kumwona kwenye ramani yuko wapi. Njia ambayo ni rahisi zaidi nenda Polisi kitengo cha Cyber Security wapatie IMEI yako (kama hauna imei waambie namba uliyokuwa unatumia wao watawasiliana na mtandao wako kupata IMEI), kwa kutumia IMEI hiyo wataangalia kwenye mitandao yote kuona ni nani anatumia hiyo siimu, hata kama atakuwa "ameiclean", IMEI ndiyo msema kweli labda afanye IMEI swapping kitu ambacho si rahisi sana kwa kibaka tu wa mtaani.
Mkuu, CYBERTEQ hapa tunapeana changamoto tu. Picha tunaweza kuhifadhi ktk sehemu mbalimbali mfano katika e mail, mitandao ya kijamii na kadharika ila sasa siku hozi kuna watu (sio mleta uzi) wameaanza kua natabiaa ya kuhifadhi picha zao za faragha hivyo inakua hatari hivyo vyombo hivyo vikipotea.
 
uko sahihi mkuu, hizi simu ni kwali wakati mwingine zina mabalaa. Niliwahi kuletewa iPhone 5 ya mama mmoja nimsaidie kuset iCloud...wallah niliyoona kwenye files zake ni siri ya mimi na yeye, uzuri wa iOS ina option mtu akikosea password mara kadhaa inafuta kumbukumbu zote! All in all hizi picha bana bora usiwe nazo kabisaa, anything can happen kesho ukazikuta mtandaoni!
 
Pole sana kiongozi, ngoja tusubiri wataalam wasaidie...

Kwani umeshindwa kui-track kwa AVG??
toka mwanzo kutrack ilikuw inanisumbua ila nilkuwa naweza kulok na kfanya ilie alarm,na kuweka ujumbe kwenye screen
 
kama ume register + na ku activate Lock naTracking ya AVG
then
jaribu ku login hapa :
Antivirus for Android | AVG Mobilation

lakini it depends on phone being on...
nimeshajaribu sana mkuu lakini kutrack hiyo simu toka mwanzo ilikuwa inanisumbua,nimewezakuilock tu na kuweka ujumbe kwenye screen,ila sasa hivi cha muhimu zaidi ni picha zilizomo kama kuna uwezo nikazipata hata nikiwa mbali na simu
 
Back
Top Bottom