she has right to say yes or no!!!!mi nikikutokeaaa ukinipigaaa dochi swarii tu,nakuelewaa na nikikutana na wewee heshima kama kawaaa,tena tunaweza kuwa marafiki.ilaa kuna wadada sio wastarabu ana kutosaa then anaendaa kukupondaaa...kwana shosti zakee''unapitaa maahalii unaskiaa unachekwaaaa.....mara suraaa bayaaa akutakee naniii.haloooooooooooooooooooooooooo"saa we umenikataa sinimekubalii yameishaa nini tenaa,nilivyo kuwaa na roho ya paka na kufataaa na kulambaa makofii mbele ya hao shosti zako