mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Yaaani kumbe Umenisahau... Nipo banaKabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
Yaaani kumbe Umenisahau... Nipo banaKabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
KufaYaaani kumbe Umenisahau... Nipo bana
ahahaaaaKabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
ahahaaaalabda bikra za siku hizi anaweza asimuache sio bikra zetu sie wazee
Daby kuhusu hii mada kamuulize saint ivuga atakuelezea vizuri inakuaje!Aseeeh
Kwa nn nife jamaniKufa
Ngoja nimuiteDaby kuhusu hii mada kamuulize saint ivuga atakuelezea vizuri inakuaje!
uongo shost mm mara ya mwisho kuonana na aliyenitoa bikra sijui ni mwaka jana sijui juzi yaan unamuona kama kaka ako tuahahaaaa
wewe bado upo na mzee mwenzako aliye vuruga vuruga pale kati!labda bikra za siku hizi anaweza asimuache sio bikra zetu sie wazee
mi sijawai kumuona miaka 5 sasa yupo uk ila alimtuma mama yake anisalimie anipe simu niongee nae maana ni majirani kijijini . bado ananipenda ila naona aibu kumrudia maana nilimuacha alikuwa chokestuongo shost mm mara ya mwisho kuonana na aliyenitoa bikra sijui ni mwaka jana sijui juzi yaan unamuona kama kaka ako tu
mzee mwenzangu yupiiiwewe bado upo na mzee mwenzako aliye vuruga vuruga pale kati!
hahahhh kweli aibu hiyomi sijawai kumuona miaka 5 sasa yupo uk ila alimtuma mama yake anisalimie anipe simu niongee nae maana ni majirani kijijini . bado ananipenda ila naona aibu kumrudia maana nilimuacha alikuwa chokest
family yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vilehahahhh kweli aibu hiyo
usiseme hivyo kakulaani mdomo huumba ujuefamily yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
santeee kwa kufunguka bibieKabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
Nambie mtoto halali na fedhaHey Princess