cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
Ubiasharaji wa mapenzi (mapenzi biashara).Kabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
Ubiasharaji wa mapenzi (mapenzi biashara).Kabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
Kufaana.Kufa
Ulimtenda?Kwa nn nife jamani
Tafuteni nanyi mtapata, ombeni nanyi mtapewa.family yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
Bikira ni utukufu kwa Mungu. Mengine ni mbwembwe tu.Ukiwa na chance ya kupata gari brand new kutoka kutengenezwa na gari second hand utachagua lipi!?
Mi nadhani ni nature tu ya binadamu... Kitu kipya kinathaminiwa zaidi!!!
Ila wanaiotaka wasichana bikra kwa kigezo cha kutochepuka kwa mdada basi wanajidanganya!!! Wengine wanatamani sana kugegedwa ila kuna sababu zinawazuia kufanya hivyo na kutunza ubikra wao... Pale ambapo bikra itatolewa basi atataka alipize yote aliyokosa huko!!!
Kuna wengine wanapenda kutumia products kama laptop second hand!!! Zina tabia ya kuhimili misukosuko kuliko brand new products!!
Wape neno, mtumishi.Utoaye bikira ndiye mke wako halali katika mwili na Roho hii ni Kwa waamimi BIBILIA.NDIYO MAANA Mungu aliwaaambia waoe bikira siyo issue ya kuch
eat.cheating is a spirit of somebody
Mapenzi biasharayaah.. tena inawezekana 100%... amini sio wote wanaochepuka hawawapendi wapenzi ila kuna kasoro ndogo ndogo tu za kimaisha kama pesa!
njoo kwangu nikuoe umepata bahati sasafamily yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
They can be fed up with you, but not with your money.Ukimkuta mwene bikra ni watu ambao they are there to stay, they always want to stick with you. Nadhani ingekua anaekutoa ndo mumeo asilimia ya wanawake kucheat ingekua ndogo saaana. Kwanza virgin hana comparison, si kibamia wala tango anaweza tu kucheza kulingana na muziki. Kumkuta mtu bikra sio kigezo kua hawezi kukuacha kama una tabia zisizovumilika, u don't care her, ur always busy, una mcheat wazi wazi, hum thamini... Lazima uachwe tu na hasa ukikuta mwanamke anaejitambua na anaweza simama mwenyewe labda kwa wale wa huko ndani vijijini ambao wanategemea kila kitu kutoka kwa huyo mumewe na ndo wale hata mumewe ampige na mapanga bado anarudi..
Huyo kaka anaetafuta bikra goodluck for him ila kama ana vitabia vya ajabu ajabu asitegemee hatoachwa kisa kaoa bikra. Of course we don't forget about our first but when a woman is fed up there's nothing you can do about it.
nakuja subiri hapo haponjoo kwangu nikuoe umepata bahati sasa
Ubiasharaji wa mapenzi (mapenzi biashara).

Acha wenge niko hapa we manka.Kabisa hakuna logic sababu me hata sijui yupo wapi aliyenitoa .. kama Huna pesa hata unitoe bikra mwaka mzima nitakucheat tu
SikumbukiAcha wenge niko hapa we manka.