miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
tena shobo mbaya hata uninyanyase as long as napata hizo pesa wala sioniDah nikiwa na fweza zangu nakuona utakavyonishobokea
tena shobo mbaya hata uninyanyase as long as napata hizo pesa wala sioniDah nikiwa na fweza zangu nakuona utakavyonishobokea
ha haha karibu mkuuWe nomaaa ngja ntafte pesa nkutoe bikra hahaha
usiwe unaudhika bwana baby unajua wakati mwingine hutokea tuila baby jana na juzi uliniudhi sana ujue..!!!
Vitu vya mtumba hudumu zaidi aiseeeUkiwa na chance ya kupata gari brand new kutoka kutengenezwa na gari second hand utachagua lipi!?
Mi nadhani ni nature tu ya binadamu... Kitu kipya kinathaminiwa zaidi!!!
Ila wanaiotaka wasichana bikra kwa kigezo cha kutochepuka kwa mdada basi wanajidanganya!!! Wengine wanatamani sana kugegedwa ila kuna sababu zinawazuia kufanya hivyo na kutunza ubikra wao... Pale ambapo bikra itatolewa basi atataka alipize yote aliyokosa huko!!!
Kuna wengine wanapenda kutumia products kama laptop second hand!!! Zina tabia ya kuhimili misukosuko kuliko brand new products!!
Mwenyekiti wa wanawake ambao wamesitisha swala kuliwa mpaka ndoa.. Ujana maji ya motofamily yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
Ko we utampa yule wa kwanzaHata km atakuacha ni ngumu kukusahsu kwasabab mmeshafanya maagano....hata akiolewa na MTU mwingine ukitaka papuchi lzm akupe
Hebu nitafute tuzungumze pleasefamily yake ,yeye ,mama yake wananipenda kweli yaani ila naona aibu sana ni story ndefu sometimes nadhani ndo maana siolewi nadhani jamaa kanilaani vile
ndg acha kabisa...yani wao ndo wapanga mahali...eti oh yani mm niolewe kwa milioni mbili heli nikae nyumbani kisa umemkuta Nikita.kwanza visumbufu hakuna kuinjoy wala nn.usiombe kupata bikra. watakupelekesha ka gari bovu kisa wao nia mabikra yani wasahau kabisa mabikra wana mategemea makubwa sana katika mahusiano ambayo hayako kihalisia
acha kabisa yani me sikutaka kuwasikia tena hao binadamu anataka apewe gari nyumba kisa ye bikra tena anataka umuoe kwa ngombe 20 hahahahandg acha kabisa...yani wao ndo wapanga mahali...eti oh yani mm niolewe kwa milioni mbili heli nikae nyumbani kisa umemkuta Nikita.kwanza visumbufu hakuna kuinjoy wala nn.
we jamaa wewe...acha kabisa yani me sikutaka kuwasikia tena hao binadamu anataka apewe gari nyumba kisa ye bikra tena anataka umuoe kwa ngombe 20 hahahaha
Bikira ni hadhi, heshima, ufahari, na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.wakuuu!
kuna hili jambo mimi naona kama watu wanataka kiniibia akili hapa!
hivi wewe kidume cha seed na akili zako za mapenzi bado unamtafuta msichana bikra
ukiwa na imani yako ya kizamani ukimtoa bikra hawezi kukuacha
Aaaah! kwanza kama kidume iyo ni dalili ya kukosa confidence!
wewe toa bikra yako upo geto na demu unavuja jasho beseni
lakini kama ubunifu wa mapenzi ukiisha mafisi wenye PhD na experience zao watamchukua tu!
eventually atakusahau kama wewe ndio mtoa bikra tukufu!
labda na wadada wa MMU nao walete uzoefu wao juu ya hili jambo
wakuuu!