mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
mkuu kuelezea ni kipengele, ila ningependa kujuzwa kuhusu njia za kupata msaada kama zipo....Mfano wa vitu hivyo unavyofanya ni vipi?
Mirembe, nenda kule utasaidiwa hapa utapigwa tu na kina mshanamkuu kuelezea ni kipengele, ila ningependa kujuzwa kuhusu njia za kupata msaada kama zipo....
sijamaanisha kwamba mimi ni kichaa😅Mirembe, nenda kule utasaidiwa hapa utapigwa tu na kina mshana
hapana mzee wangu...Sio kwamba wewe ni mshamba tu.
asante 😅Pole mshamba sikucheki hata
asante mkuu...Nenda hospitali yeyote iliyo karibu na wewe, utaonana na daktari (gereral) atakusikiliza halafu ataku refer kulingana na uhitaji wako.
mkuu kuelezea ni kipengele, ila ningependa kujuzwa kuhusu njia za kupata msaada kama zipo....
ni mtaalam??
Sasa unasema mwenyewe unakanusha mwenyewe 🤷♂️sijamaanisha kwamba mimi ni kichaa😅
Anguttara Nikaya pdfHabari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya uchunguzi ambao umeonyesha naweza kua na tatizo la akili....
Pia nimegundua hapa tz swala la afya ya akili tunalichukulia kiuwepesi sana, ni changamoto kupata msaada na isitoshe kuna hii dhana ya wanaume kua wagumu na wastahimilivu, hili limenifanye niwaze sana kuhusu kutafuta msaada.
Lakini sasa nimeamua hili swala nianze kulishughulikia kwasababu madhara naona yameanza kua makubwa. Sasa ningependa kujulishwa kama kuna njia nzuri ya kupata msaada, ikiwezekana wa kitaalam, juu ya matatizo ya afya ya akili. Saidia kwa mapendekezo yoyote uliyonayo. Ningependa kujua kama labda kuna gharama za kifedha zitahusika, au labda kama kuna process za kufuata n.k....
Ahsanteni....
mkuu naona ugumu kusema.... ni matatizo makubwa sanaMficha uchi azai, sema hapa hayo mambo ilituone kama Ni kweli na Ni type gani
Kuna watu wanaexprience na hicho kigeni kwako
Nenda kwa doctor msango pale mloganzila izi issues ana zijua mno. Bora ww umejigundua naukaamua kuchukua hatua, kwasababu linamazara sana.kuna mtu namfahamu anahili tatizo lakin akubaliani nalo kabisaa ndolinazidi kumfanya aonekane tofaut kwa matendo yake lakin yeye anajiona yuko sawa.Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya uchunguzi ambao umeonyesha naweza kua na tatizo la akili....