Kupata mpenzi wa kuingia naye kwenye ndoa ni kazi saana.

Umenena vema! Wanawake na wanaume wote wangekuwa na hofu ya Mungu kupata mke au mume ingekuwa rahisi sana....

Wewe hofu ya Mungu unayo???
Hofu ya Mungu ni nini na hili uwe nayo unatakiwa uwe na traits zipi???
 
Ninayo!
Hofu ya Mungu ni kule kujua kitu fulani ni chukizo kwa Mungu kwahiyo utakiwi kufanya mfano kuua,kuiba,kusaliti,kudaiwa nk
Hakuna traits zozote ni wewe kama unamwamini Mungu basi.

Wewe hujawahi kusaliti?
 
Very innocent comment

Na hii pia shida higher expectations zinacost sana unakutana na mwanamke katika story anakwambia mimi napenda magari makubwa makubwa kama vile v8, Range, hammer si pendi hivi vigari vidogo vidogo

Na utakuta kwenye maisha yake hajawahi kutengeneza hata millions kadhaa ambazo ni zake mwenyewe, Tamaa mbaya sana
 
Mkuu ,hao wasiostahili ndoa wanastahiki kuchezewa tu

Wacha tuwachakaze mkuu , wakija ku realize ni too late

Sisi tupo na familia zetu tumetulia
 
Na hii pia shida higher expectations zinacost sana unakutana na mwanamke katika story anakwambia mimi napenda magari makubwa makubwa kama vile v8, Range, hammer si pendi hivi vigari vidogo vidogo

Na utakuta kwenye maisha yake hajawahi kutengeneza hata millions kadhaa ambazo ni zake mwenyewe, Tamaa mbaya sana
Hahaha akiona huna uwezo ndio mwanzo wa kupita hivi. Mi mwanamke mwenye akili hizo nasepa mapema sana kwake
 
Single mother wengi hizo sifa hapo wanazo. shida inakuja kitendo cha kuwa na mtoto unakuta kashapoteza sifa.Ila wengi wanakuwa washajifunza na wanakuwa smart sana.
kweli mkuu halafu kibaya zaidi kuna yule baba wa mtoto daah jamaa anakua hakupendi na wewe mwenyewe humpendi na anatumia kigezo cha mtoto kutaka kukuumiza ukikoroma hata mwanamke naye anakuambia muache huyu pia ni mwanae....hapo ndo huwa tabu...mara aende kumpeleka mtoto unabaki roho juu juu maana possibility ya jamaa kumfunua tena ni kubwa kama mwanamke sio mwenye msimamo ukiliza unaambiwa kwa hiyo siku hizi huniamin
 
Hatujakataaa
Ila inategemea na mtu....
Wanawake tumepewa uwezo wakuona mbali katika maisha ya mwanamme....
Mwanamme anayeeleweka anajulikana na huwa tunanganganiaga hapo...ila wale wakusema tu....bila vintendo...ndio wanatufanya tunashindwa kuvumilia
Ukiwa na sifa hii nakuhesabia miongoni mwa wanaojitambua. Wengi mnakosa hii sifa.
 
Back
Top Bottom