Kupata mpenzi wa kuingia naye kwenye ndoa ni kazi saana.

Angalia hata Aina ya watu unaokutana nao.
Ukijumlisha wanawake wote kwamba wanajiona special kuliko watu wengine utakuwa unawaonea wema.
Nisome vizur unielewe dadaangu, sijamaanisha wanawake wote ila wengi wenu. Kama niliandika hivyo basi nilikosea, sio wote ila ni wengi wenu, ndicho nilikusudia kusema
 
Back
Top Bottom