Kupata kura 1 kituo cha Mgombea na mwenzi wake...

Hebu pigia mstari hapo:smile-big::smile-big::smile-big:

Babu umesahau kuwa men they just need place and not a reason??.....Kwa sababu hiyo hapo si sababu hata ya kununa kwani ni utashi wa mtu hata kama ni mkeo kuamua apendavyo........ but hapa yeye ushampa nafasi kumwapisha Bi Havijawa kama mbunge/diwani halali wa mapenzi yake...........we ulomnyima kura utajiju
 
Hehehehe! hata kwenye mabenchi? Wanaume sisi kiboko LOLZ.

Turudi kwenye mada: No Kura No Baioloji Service.

Kwanini usimpigie kura mtu uliyekubali kwa hiyari yako kulala naye uchi? Kama umekubali akuongoze kwenye familia, unamtiliaje shaka akuongoze pia kwenye kata/jimbo/taifa?
 
Conclusion: Mpinzani wako kwenye kinyang'anyiro hicho atakua ni 'kidum' cha spouse wako....beyond reasonable doubts..
 
Hehehehe! hata kwenye mabenchi? Wanaume sisi kiboko LOLZ.

Turudi kwenye mada: No Kura No Baioloji Service.

Kwanini usimpigie kura mtu uliyekubali kwa hiyari yako kulala naye uchi? Kama umekubali akuongoze kwenye familia, unamtiliaje shaka akuongoze pia kwenye kata/jimbo/taifa?
Mh kwa maana hiyo unahalalisha baba kumnyima mama kura kwa kuwa si yeye anayeiongoza familia au??......sio kwamba tunaoana sie na si itikadi zetu za kisiasa au kidini unless kwa makubaliano maalumu??
 
Tatizo ukimpa mama kura atakuwa kiongozi wako. Kwa sisi tunaoamini katika mila na tamaduni zetu za kiasili...kuongozwa na mwanamke ni DHAMBI.
 
Mh kwa maana hiyo unahalalisha baba kumnyima mama kura kwa kuwa si yeye anayeiongoza familia au??......sio kwamba tunaoana sie na si itikadi zetu za kisiasa au kidini unless kwa makubaliano maalumu??

Sasa MJ1 kama small house nae ni mgombea nitafanyaje?
 
Mh..................so bora umpigie kura small house kuliko mkeo??..................Babu yangu asingefanya hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu........ anachakachua lakini maslahi yote yako kwa bi mkubwa ati.....Usichafue kambi wakati huna pa kulala...nyumba ndogo akishapata uhalima Mdee anakuacha kama hakujui.
 
Kwa sababu mila haziruhusu kuongozwa na mwanamke, basi nawanyima wote...
 
Back
Top Bottom