Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Jamani hivi ndoa hii iko salama kweli. Wameenda kwa shangwe kupiga kura ya udiwani, kura zimehesabiwa kura ya mama iko moja tu ya kwake, mumewe hakumpigia kura! Ndoa iko salama au ni siasa tu?
kama hutaweza kuthibitisha kwamba kuna uchakachuzi, ndoa inaota mbawa fasta...
si tulikuwa tunalinda kura au kituo chako wameishamaliza
kuhesabu kura kumekosa demokrasia kabisa hii ni kwa kuwa watendaji wa tume wanateuliwa na raisi hii si sawa kabisa na huko mbele lazima amani itatoweka kama tume haitabadilisha hili.hehehehe mambo juu ya mambo uchaguzi mwaka huu burudni tupu
Jamani hivi ndoa hii iko salama kweli. Wameenda kwa shangwe kupiga kura ya udiwani, kura zimehesabiwa kura ya mama iko moja tu ya kwake, mumewe hakumpigia kura! Ndoa iko salama au ni siasa tu?
Mwanakijiji....nakuhakikishia hii ndoa iko salama kabisa hapa mama ataeleweshwa na atakubali kushindwa na atarudi nyumbani na kuendelea kumpenda mumewe.......tatizo lingekuwepo iwapo mgombea angekuwa ni baba ....kisha mkewe amnyime kura........Jamani hivi ndoa hii iko salama kweli. Wameenda kwa shangwe kupiga kura ya udiwani, kura zimehesabiwa kura ya mama iko moja tu ya kwake, mumewe hakumpigia kura! Ndoa iko salama au ni siasa tu?
Mwanakijiji....nakuhakikishia hii ndoa iko salama kabisa hapa mama ataeleweshwa na atakubali kushindwa na atarudi nyumbani na kuendelea kumpenda mumewe.......tatizo lingekuwepo iwapo mgombea angekuwa ni baba ....kisha mkewe amnyime kura........
Hii ni hadithi mpya eeh?:tape::doh: