UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Nifanyeje niweze kutafuta jina majina ya watoto kwenye mtandao? Naomba kujuzwa.
kama ni wa kike muite Wema
Kila jina lina maana yake sasa jina utakalo lipata kwenye Google utajua linamaana gani? Jaribu kupenda vyenu usipende vya nchi za watu. Usiwe mtumwa mpaka wa majina.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ungemalizia kama ni wa kiume amuite Diamond
wa kiume aitwe mwanaasha, jina nimelitoa ktk ukoo wa kifalme at!!!!!? Kwa jinsi ninavyojua mm jina hili ni la mtoto wa kike wa kiislam
Hopeless.