Kupanga ni kuchagua hii nchi ni tajiri kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,890
2,000
Asante kwa serikali kwa kutimiza wajibu kununua engine mpya
Tatizo kubwa ukosefu,uchakavu na uwezo vivuko inchini mfano wakazi kisiwa cha mafia!

Rejea taarifa uzinduzi kivuko MV Mwanza Aust 2018, uwezo kivuko abiria 1000; magari 36; mizigo tani 200;Garama 8.9B
Kwa visiwa na mini midogo, nusu yake 4B;

Pesa chaguzi za marudio za kujitakia kuunga juhudi na kumfurahusha mfalme garama inasemekana 80-100B!?"...hii nchi ni tajiri..."
Tungeweza vivuko 20 vipya! ..."kupanga ni kuchagua.." Badala ya furaha ya bandia kwa mfalme inayoharibu umoja wa taifa letu!

...."msema kweli ni mpenzi wa muuungu"
pic+mv+mwanza.jpg
Screenshot_20180921-180022.jpg
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
4,853
2,000
Basi itabidi 2020 tusifanye uchaguzi wa urais maana hatutaki gharama..uchaguzi tutafikiria ikifika 2025..kwa sasa waendelee kwa muhula mwingine..au mnasemaje wana chadomo??huzo pesa tununue vivuko na kujenga hospital
 
Ni bora wabadili sheria kuliko dhuluma ya chaguzi.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,807
2,000
Basi itabidi 2020 tusifanye uchaguzi wa urais maana hatutaki gharama..uchaguzi tutafikiria ikifika 2025..kwa sasa waendelee kwa muhula mwingine..au mnasemaje wana chadomo??huzo pesa tununue vivuko na kujenga hospital
Good
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Ni tajiri kweli kweli lakini imesheheni viongozi wenye mawazo ya kimasikini kweli kweli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom