Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,748
- 7,023
Nina imani mu wazima,
Tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihani kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho,
mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao kwa masomo manne, nimeweza kutafuta jumla ya alama na wastani.
Sasa kupanga nafasi zao ndio nashindwa, ninatumia word Excel, window 2003 msaada tafadhali!