Itakaa njiani kwa Saa 16.
Wataipaki tu
Masaa 16 si anayeenda lingowe ameshafika kitambo.Itakaa njiani kwa Saa 16.
Wataipaki tu
Mkuu wengine ni utalii tu hata mimi nitafanya safari ya kwenda Moshi just kuexperience usafiri wa treni,mara ya mwisho kupanda treni ilikuwa mwaka 1984.
Acha kuwa na mawazo ya mgando
Usafiri wa treni una raha yake
Ila bado wapo wale wakatao tumia private car
Ova
Tutakuwa Pamoja Mtani Safari ya Kwenda Moshi Kawe UKWAMANI MARINGO.Hata mimi Mkuu
Tutakuwa Pamoja Mtani Safari ya Kwenda Moshi Kawe UKWAMANI MARINGO.
Hahahahaaa Ngoja Niangalie Ratiba yangu kama nitapata nafasi nitabook treni ya terehe 22 ila kuna mtu aliniambia huwa inasafiri usiku kwa usiku,kama ni usiku kwa usiku hata sitopanda maana nataka mchana ili nienjoy vizuri.Safi Mkuu tarehe 22 ukipanda utanikuta bufe ukiona midevu mingi ndio mimi
Ukiwa kwenye treni huwazi suala la kukata gogoLeo umeongea point toka ujiunge jf comrade