Kupanda na kushuka kwa bei za mafuta nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda na kushuka kwa bei za mafuta nchini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Galaticos, Oct 24, 2012.

 1. G

  Galaticos Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndugu wadau JF:

  Kuna tetesi nimezisikia mitaani katika pitapita zangu kuwa kuna kigogo mmoja ambaye kila consignment yake ya mafuta inapowasili nchini bei za mafuta hupanda immediately...lakini kila inapoisha huwa zinashuka ghafla... How true is this? ...Wanaojua watuze.

  Shukrani....
   
Loading...