unapatikana wapi
Nipo Njombe na Dar pia
Mkuu nachojaribu kufanya nikuoganaiz team ya kufanya hiyo biashara.
Katika team kila mmoja atakuja naujuz nauzoefu wa aina yake nakwapamoja tunakuwa team. So if ur interested please join.
Mi nimjasiriamali tu nauelewa wangu niwakiujasiriamali
Naona tunashindwa kuelewana then kama unataka kuleta ushindani hivi. Kama upo interested jiunge if not pita tu.Kwa hiyo hujui cho chote kuhusu miti na kasheshe zake? Na huna hata shamba lako mwenyewe. Jibu haya maswali nikusaidie ndugu yangu.
Sina mpango na ligi, nilitaka kujua hayo ili nijue cha kuchangia nikijiunga na group. Hata mimi kuna mengi najifunza kwa walionizidi katika eneo husika, kwa hiyo ungechangia kwa kujibu kwamba najua kiasi Fulani na mimi naongezea halafu tunasonga mbele pamoja.Naona tunashindwa kuelewana then kama unataka kuleta ushindani hivi. Kama upo interested jiunge if not pita tu.
And two kama kunaunachojua andika c lazima nachojua mimi nawe uwe unajua. Si kila jambo nilakuweka Ligi. Asante
Naona tunashindwa kuelewana then kama unataka kuleta ushindani hivi. Kama upo interested jiunge if not pita tu.
And two kama kunaunachojua andika c lazima nachojua mimi nawe uwe unajua. Si kila jambo nilakuweka Ligi. Asante
Bro najaribu kurudia tena. Nimeleta hii post kupata memba waliointerested tufanye biashara coz nipo huku naninaona faida yake nanimegundua ili ufanikiwe zaidi usiwe mwenyewe. So cdhani kama tunaitaji kuzijua changamoto wakati wakujiunga Bali wakati wakupanga.Kwa nyongeza tu ni kwamba team za hivi nimeshiriki nyingi, zingine kwa kuanzia humu humu jf na nyingine mitaani ninakoishi. Zilizofanikiwa ni zile ambazo viongozi walikuwa wanajua na wana uzoefu na safari, na zilizokufa ni zile tulizoanzisha tukiwa wanafunzi watupu. Mfano, tuna shamba Njombe, lakini members wote wako nje ya Njombe na wamebanwa na kazi, aliyeko Njombe hana uzoefu na hii project, itakuwaje hapo mkuu?

nataka kujua kuhusu huu ujasiria mali inakuwaje ..? nafuatilia thread
Sorry kwa kuonekana mkali mana ckupenda tu unaf... Wa jamaa.Mleta uzi mbona mkali na hataki maswali. Ngoja nipite tuu.
Aisee mkuu nimeikubali hii,vipi naweza kujiunga.?Sorry kwa kuonekana mkali mana ckupenda tu unaf... Wa jamaa.
Ujasiriamali uliopo hapa naninaohusika nao ni wabidhaa za misitu
1) Mbao (Kuchana nakuuza ikiwemo kusafirisha,)
2) Nguzo (za umeme nasimu)
Kwa upande wanguzo huwa tunanunua kwa wakulima na kuziuza kiwandani ambao wao wanatreat nakuziuza kwenye miradi ya umeme au kwenye makmpn ya simu.
2) Pia kunabiashara ya kupanda miti ya Mbao ama Nguzo (mlingoti)
Hii nikupanda miti after some yrz 8 plus tunavuna. ( lengo la uzi nihapa kutengeneza kikundi kitachonunua ardhi nakupanda miti. Nirahic kwa kutumia group coz inasaidia kimtaji kwamba hata mwenye mtaji mdogo ataweza shiriki napia inarahisisha management.
Kwa upande wangu nitatoa uzoefu wamaeneo mbali mbali katika chain ya hii biashara and nawafahamu baadhi ya wadau wakuu wamisitu nitawaleta tutawatumia. Pia naamin kunawengine watakuja watakuwa nauzoefu wao kwa pamoja tutajenga jambo kubwa.