rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,188
- 4,853
Bei ya mafuta imepanda jana . Hii ni kawaida kila jumanne ya kwanza kila mwezi kufanya marekebisho ya bei ya mafuta. Ni juzi tu nimesikia mafuta yamepanda kidogo kwenye soko la dunia.
Hapa kwetu haraka haraka wamepandisha, lakini nadhani mnakumbuka yalipokuwa yanashuka na mnakumbuka walivyokuwa wanachelewesha kushusha bei hapa. Nionavyo mimi hawa EWURA hawana raha mpaka mafuta yawe 2000/= na kuendelea.