Kuadimika kwa Petrol Songea

ndiuka

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
620
703
Wakuu nipo Songea hapa toka jana, baadhi ya vituo vya mafuta hakuna Petrol, inaelekea wafanyabiashara wanaficha mafuta huenda wanategemea kupanda kwa bei karibuni huu si uungwana. Hebu mamlaka zichukue hatua.
 
mamlaka zipo kwa sherehe Kizimkazi
subiri warudi
Viongozi wapo Kizimkazi wanavunja jungu
IMG_20230823_174243.jpg
 
Ni kwa sababu hakuna dollar za kununua mafuta, na kukosekana kwa mafuta itafanya usafirishaji na kila kitu kuwa very expensive, anguko la uchumi linakuja jiandaeni
 
Back
Top Bottom