Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,556
- 1,977
Ni vyema kuwa na akiba ya chakula ndani itasaidia kupambana na njaa
Bado ndogo.N hatari sa hv kwetu huku n 80000_ushirombo
😂😂😂😂😂Wewe ukame huu uliopo hujauona? Au ndio nyie wa masaki mnadhani mahindi yanavuliwa baharini kama samaki.
Mbna bei rahisi kabisa, kwetu ni 90k, na inaelekea kupanda zaidi.N hatari sa hv kwetu huku n 80000_ushirombo
Stress mbaya sananiliwahi kushauri miaka ya 2012 enzi waziri mkuu pinda kila siku anafunga mipaka kuwa tuuze chakula nje hata kama watu watakufa kwa njaa milioni 5 nchi iachane nao bora wafe maana waliataka wenyewe watu wakaniona nina roho mbaya, magufuli baada ya kusisitiza hakuna chakula cha msaada kamwe na watu wakauze wanapotaka leo watanzania wengi wamewekeza kwenye ilimo na kinaonekana kina faida hasahasa watu wa kati, 2014 nilishawahi kuvuna mahindi nikauza gunia sh 12000 wenzangu waliuza elfu 7000 upuuzi mtupu kila mtu alichukia kilimo, hata mabenki yalikuwa hayakopeshi kabisa wakulima, kwa hiyo bora yapande sana gunia ifike laki 2 wakulima wengi na wafanyabiashara wa kati wapat faida ya kutosha ukiona gharama kubwa na wewe kawekeze kwenye kilimo kama rahisi, tena nashauri NFRA iwahi kuuza mahindi mpunga na maharage sudan kaskazini na sudan kusini kuna uhitaji mno wa chakula , Mtanzania akipokuwa na uwezo afe tu ndo haki yake kwa muda huu
HII FAFANUA STRESS KWA MKULIMA au stress kwa mtoa mada?Stress mbaya sana
Wapi hukoMbna bei rahisi kabisa, kwetu ni 90k, na inaelekea kupanda zaidi.
Katavi Watu wanatoa maindi tangu kati kati ya mwezi wa machi kaka. Weka taarifa zako vizuri.Kilimo kinalipa na hasa ukiwa na subira ya kuhifadhi mzigo kwenye ghala lako hadi kipindi cha February au machi.
Ukiuza wakati wa mavuno huwezi kupata faida
Hii research yako ya mavuno umeifanyia wapi mkuu.Baada ya miezi 3 mahindi yatauzwa 120,000/=
mwenendo wa mavuno hauridhishi Hali ambayo itapelekea kuwe na upungufu wa mahindi ndani ya nchi
SongeaWapi huko