Kupanda gari za magazeti,nimekoma

Kupanda gari za magazeti,nimekoma

Hizi gari zimewatanguliza wengi sana mbele ya haki naona wangekatazwa tu kubeba abiria wajiue wenyewe
 
uzoefu u
Salam sana ndugu zangu.Ni matumaini yangu kwamba week-end inakwenda vizuri sana!

Juzi siku ya Alhamisi January 19, 2017 niliingia "mkenge" kwa kupanda gari ya magazeti ya MWANANCHI kutoka Dsm to Arusha. Nilipanda hilo gari kwa sababu nilipata wito muhimu sana wa kuonana na mtu muhimu sana kesho yake Ijmaa saa 3 kamili asuubuhi.

Na nilifanikiwa kukaa seat ya mbele,hivyo nikawa naona namna dereva anavyocheza na usukani wake barabarani.

Speed 100 km /hr n ya kawaida sana kwa gari ya magazeti. Kuna muda anatembea speed mpk 160 km/hr.Dereva alikuwa amevaa shuka la kimasai na simu yake ya touch kwenye dushboard!

Ku-overtake malori hata kwenye kona, n kitu cha kawaida sana. Dereva anateendesha gari kuna wakati ananing'iniza mkono wake mmoja dirishani kwenye mlango wake, huku mkono mmoja ukiwa ndiyo unapapasa usikani!Balaaa.

Mbaya zaidi akawa anaongea na madereva wenzie ambao nao wameondoka Dsm na kuelekea mikoani.

Kuna vitu visivyoisha,dereva alianza kuvitafuna Dsm mpk tumeingia Arusha.

Tochi za kuwathibiti hawa madereva haziwanasi jamani?

Kwann trafic wasiwakamate hao madereva pindi wanapoona muda ambao wametumia n mfupi?Na kwann wasitumie usafiri wa ndege kutawanya hayo magazeti Au kwa nn wasiongeze vituo vya uchapishaji huko mikoani?

Uzoefu unaonyesha madereva wanaoendesha magari ya magazeti na wale wanaoendesha magari ya misafara ya viongozi (kama Rais, Pm n.k) wapo makini sana. Ni nadra kusikia wamefanya ajali labda kwa bahati mbaya tu. Tatizo siyo speed kubwa bali ni uzembe wa dereva au ubovu wa gari. Kama ukihitaji kwenda speed kubwa angalia kwanza: HALI YA GARI YAKO, TAIRI, UWEZO WA GARI, HALI YA BARABARA, UTAYARI WA HALI YA DEREVA NA AFYA YAKE (asilewe, awe na afya njema, asiwe na usingizi, asiwe na njaa n.k)
 
Akikupatia niite na mimi, maana nina safari ya huko mwez ujao.

Kuna mdau mwenzetu ametoa maelekezo hapo juu zinapatikana ubungo shell kuanzia saa 6 usiku, nadhan ukijongea hapo utazikuta mimi the next week nikikosa other alternative nitazipanda ntaleta mrejesho
 
Salam sana ndugu zangu.Ni matumaini yangu kwamba week-end inakwenda vizuri sana!

Juzi siku ya Alhamisi January 19, 2017 niliingia "mkenge" kwa kupanda gari ya magazeti ya MWANANCHI kutoka Dsm to Arusha. Nilipanda hilo gari kwa sababu nilipata wito muhimu sana wa kuonana na mtu muhimu sana kesho yake Ijmaa saa 3 kamili asuubuhi.

Na nilifanikiwa kukaa seat ya mbele,hivyo nikawa naona namna dereva anavyocheza na usukani wake barabarani.

Speed 100 km /hr n ya kawaida sana kwa gari ya magazeti. Kuna muda anatembea speed mpk 160 km/hr.Dereva alikuwa amevaa shuka la kimasai na simu yake ya touch kwenye dushboard!

Ku-overtake malori hata kwenye kona, n kitu cha kawaida sana. Dereva anateendesha gari kuna wakati ananing'iniza mkono wake mmoja dirishani kwenye mlango wake, huku mkono mmoja ukiwa ndiyo unapapasa usikani!Balaaa.

Mbaya zaidi akawa anaongea na madereva wenzie ambao nao wameondoka Dsm na kuelekea mikoani.

Kuna vitu visivyoisha,dereva alianza kuvitafuna Dsm mpk tumeingia Arusha.

Tochi za kuwathibiti hawa madereva haziwanasi jamani?

Kwann trafic wasiwakamate hao madereva pindi wanapoona muda ambao wametumia n mfupi?Na kwann wasitumie usafiri wa ndege kutawanya hayo magazeti Au kwa nn wasiongeze vituo vya uchapishaji huko mikoani?

weka picha mkuu
 
Tochi(speed cam) zinatumika usiku?au mlisafiri mchana?
 
Kuna mdau mwenzetu ametoa maelekezo hapo juu zinapatikana ubungo shell kuanzia saa 6 usiku, nadhan ukijongea hapo utazikuta mimi the next week nikikosa other alternative nitazipanda ntaleta mrejesho
Nimeiona mkuu, nashukur sn.
 
Unatakiwa uwe na roho ngumu kweli na ukipanda hakikisha unalala ukijaamka umefika
 
Kaomba msaada anaukashifu...Nina ndugu yangu yeye dereva wa hayo magari...Aliniambia kawaida awataki kubeba abiria lkn shida zao inabidi wawachukue na mara nyingi wana lialia sana njiani inafikia mda uwataka waendelee na safari au washuke kwenye kijiji chochote wakitakacho basi wakisikia hiyo kauli wanautafuta usingizi kokote ulipo wanaamshwa washafika wale walio macho wanapewa maji wasafishe matapishi...
 
Braza naomba namba ya gar ya kwenda arusha nina shida ya huo usafiri aisee
Nenda pale petrol station ubungo saa tatu na kuendelea au hapo tazara tsn muda huo Gari unachagua kama ni Noah, hiace au coaster
 
Salam sana ndugu zangu.Ni matumaini yangu kwamba week-end inakwenda vizuri sana!

Juzi siku ya Alhamisi January 19, 2017 niliingia "mkenge" kwa kupanda gari ya magazeti ya MWANANCHI kutoka Dsm to Arusha. Nilipanda hilo gari kwa sababu nilipata wito muhimu sana wa kuonana na mtu muhimu sana kesho yake Ijmaa saa 3 kamili asuubuhi.

Na nilifanikiwa kukaa seat ya mbele,hivyo nikawa naona namna dereva anavyocheza na usukani wake barabarani.

Speed 100 km /hr n ya kawaida sana kwa gari ya magazeti. Kuna muda anatembea speed mpk 160 km/hr.Dereva alikuwa amevaa shuka la kimasai na simu yake ya touch kwenye dushboard!

Ku-overtake malori hata kwenye kona, n kitu cha kawaida sana. Dereva anateendesha gari kuna wakati ananing'iniza mkono wake mmoja dirishani kwenye mlango wake, huku mkono mmoja ukiwa ndiyo unapapasa usikani!Balaaa.

Mbaya zaidi akawa anaongea na madereva wenzie ambao nao wameondoka Dsm na kuelekea mikoani.

Kuna vitu visivyoisha,dereva alianza kuvitafuna Dsm mpk tumeingia Arusha.

Tochi za kuwathibiti hawa madereva haziwanasi jamani?

Kwann trafic wasiwakamate hao madereva pindi wanapoona muda ambao wametumia n mfupi?Na kwann wasitumie usafiri wa ndege kutawanya hayo magazeti Au kwa nn wasiongeze vituo vya uchapishaji huko mikoani?

Utakuwa msukuma wewe.
Ndege itumike sawa,ila utanunua gazeti la Nipashe kwa elfu tano? Kwa gazeti moja?
 
Mtoa mada we mbea mbea sana unataka kuharibia watu kazi.hiyo Speed ndogo kabisa Mm huwa nasafiri usiku kwenda nyumbani Tunduma.gari za magazeti huwa zinanifukuza hazinipati yupo Dogo mmoja ndio huwa anajitahidi kdg ananikuta ktk check points namaliza kukaguliwa au natoka hotelini kula.mke wangu ndio anakimbizana nao watu wa magazeti hawasimamishwi lkn mwendo wao ni wa kawaida
 
Fala sana wewe mleta thread.

Siku nyingine wakutupe porini.
 
Back
Top Bottom