Kupanda daraja kutokana na elimu

polis

Member
Aug 8, 2015
97
33
waheshimiwa naomba kujuzwa kuhusu kupanda daraja kwa mtumishi wa serikali ambaye mwanzo aliajiriwa kwa cheti kidogo sasa anataka kutoa cheti chenye elimu ya juu lugha nzuri tafadhari nawasilisha
 
Ebhu funguka vizuri, wakati wa kuomba kazi ulificha vyeti vyako vya elimu ya juu?? hiyo post unayofanyia kazi inaitwaje??
 
Umemaliza miaka mitatu kazini? umeajiriwa serikalini au private?!
 
Ebhu funguka vizuri, wakati wa kuomba kazi ulificha vyeti vyako vya elimu ya juu?? hiyo post unayofanyia kazi inaitwaje??

Nilificha cheti cha diploma nikatumia cheti cha loundry services kupata kazi sasa hiyo diploma ni ya accounting
 
Back
Top Bottom