Kupanda cheo sababu ya...

Kupanda cheo sababu ya...

Yaani umenikumbusha ticha wangu wa Chuo kwenye HR 200! Duh! RIP Fayol.
umeona eeh, ndio maana Pablo alikuwa anasema 'some people hate because they can't do what others can do'.
 
Kwenye salary slip kuna jina langu au jina la K ya mudada wa mujhini?
Zambi zangu tu zinatosha kunipa guilty za nyingine zinipite hiiiiviiiiiii >>>>>>>>>>>
 
yan kumegwa amegwe mtu mwngne mim inahusu nin naendelea kupiga kazi
 
yaani kumegwa amegwe mwingine we ukose raha kwa kazi ambayo una qualify?

Tatizo ni the way cheo kilivyopanda, jamaa alikuwa analalamika sana kuona kwamba kumbe haki yake ilikuwepo lakini amepata baada ya kufanya hivyo!!! Ni kitu ambacho kimempain sana
 
Uuupsi mbona hujatoa reference book.
Somo gumu halieleweki

Uliza pasipo eleweka!! Madhara ya shule za kukariri, kila kitu unadhani kinatoka kwenye vitabu!! Mengine maisha ndugu, reference ni yale yanayokukuta na unayoyashuhudia kwa wengine!!
 
Win Win system

Hata ungegoma kumuachia angemega na cheo usingepandishwa

Utata ulipo kaka ni kwamba, mpaka upandishwe cheo ni kwamba haki hiyo ilikuwepo!! Kwa nini mpaka amegwe mtu kwa mgongo wako ndipo upande cheo?? Hili si swali lako but kilichonifanya nilete hapa ni kitendo cha jamaa kuwa mnyonge, sasa swali ni je mtu anastahili kuwa mnyonge kwa tukio kama lililotokea??
 
Hapo ndo kuna tatizo mkuu
 
Hukufanya ukuwadi ili upandishwe cheo.
Kupanda cheo ilikuwa ni stahiki yako.
Labda kama kuna mengine.
 
Back
Top Bottom