CcmWatunga sheria hizi ni kina nani?
Inayoogopa katiba mpya kama ukomaserikali ya ccm hiyo.
Hata mimi ndio nasikia saiv. Yani unafanya kaukarabati chako cha rangi mpaka kibali. Too much kwakweliHii ndio naisikia kwako aiseeh, kibali cha ujenzi sawa na siyo ukamatwe bali unazuiwa mpaka utakapokamilisha taratibu za ujenzi lakini kwenye kupaka rangi sijawahi kusikia
Yah Magomeni ipo hivyoKuna mwingine alikuwa anabadilisha paa lake lililochoka aweke jipya wakamdaka mpk kibali
Hii sasa kaliSheria zilizotungwa zinatuumiza.
Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi.
Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika.
Watunga sheria hizi ni kina nani?
Hahahahaaa dah jamaa ukaamua kufanya lamination kabisa naona uliumia sanaHii hapa mpaka nili laminate hii document for future ...useView attachment 1869774
Kote nchi nzimaYah Magomeni ipo hivyo
Iliniuma sanaaa ,na ilibd nilale rumande .Hahahahaaa dah jamaa ukaamua kufanya lamination kabisa naona uliumia sana