pilot atakuwa mzungu. maana video inanipa kizunguzungu.Hebu shuhudia namna ambavyo Boeing 767 ilivyoweza kupaa toka uwanja wa ndege wa Arusha. Japo ulikuwa mdogo bado kitu kiliweza kuinuka bila hata kumaliza runway!
GONGA HAPA ILI KUWEZA KUIONA
Karibu wataalamu wetu kwa comments sasa
Hawa ndio ma pilot tunaowahitaji, ashakomaa kiakili na kazi yake.
Ngoja na mimi niende flight gear nikafanye hii..