nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,953
- 5,829
Acha uongo humu, kama kitu hukijui funga kopo lakoTatizo hili lina changiwa pia na mapenzi kwa njia ya mdomo imean wengi wenye matatizo ya dizani hii ni mabingwa wa kula koni,kuna bacteria huwaga wanabaki kwa meno toka kwa sperm wakiungana na wamabaki wa chakula ndo tatizo linapokuwa kubwa,Ushauri wangu ni vyema kuacha kula koni au kutumia Mouth wash baada ya show