Kuoza Meno Kunavyo Watesa Wadada Mjini

Kuoza Meno Kunavyo Watesa Wadada Mjini

Tatizo hili lina changiwa pia na mapenzi kwa njia ya mdomo imean wengi wenye matatizo ya dizani hii ni mabingwa wa kula koni,kuna bacteria huwaga wanabaki kwa meno toka kwa sperm wakiungana na wamabaki wa chakula ndo tatizo linapokuwa kubwa,Ushauri wangu ni vyema kuacha kula koni au kutumia Mouth wash baada ya show
 
Hata mimi nayaona... umejaaliwa.
kakayakoronkanazubiluchshenaiboleeraspro_8BD56F10.jpg
Yangu kila jino lina uazi na mswaki unaingia hayajabanana ivo
 
Mm mwenyewe na jino lilipasuka nilikuwa napenda sana kutembea na toothpick mdomoni, nikawa nalichokonoa mpk likapauka, basi hapa navyoandika linauma hataree, siyo LA mbele lkn
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] pole sana mkuu
 
Hapo unataka kuwachokoza wadada wa Arusha😀
 
Tatizo hili lina changiwa pia na mapenzi kwa njia ya mdomo imean wengi wenye matatizo ya dizani hii ni mabingwa wa kula koni,kuna bacteria huwaga wanabaki kwa meno toka kwa sperm wakiungana na wamabaki wa chakula ndo tatizo linapokuwa kubwa,Ushauri wangu ni vyema kuacha kula koni au kutumia Mouth wash baada ya show


hahahahahaahah nimecheka sanaa, wewe jamaa bhana
 
Hapo unataka kuwachokoza wadada wa Arusha😀

Hapana mkuu, haviusiani na wadada wa Arusha au Singida, ila na maanisha kuoza meno na kuaribika, hata huku mitaani si tunaona watu wana meno ambayo yameliwa sanaa na wadudu, ni wengi hawa, na vijino vinakua vimepasuka au vina weusi kwa ndani.
 
Yangu kila jino lina uazi na mswaki unaingia hayajabanana ivo

Basi umebalikiwa mkuu, tena watu kama nyie hata mdomo hua salama tu, hauna harufu yoyote, hapo deep kiss asubuhi safi kabisaa.
 
Back
Top Bottom