Nauliza hivi inakuwaje unakuwa wa kwanza kila thread?Kweli kabisa mkuu, sometimes wanakuwa hawajiamini,wanashindwa hata kucheka vizuri
Hahaha shem ni kupitia new post, halaf shem sio kila thread mimi wa kwanzaNauliza hivi inakuwaje unakuwa wa kwanza kila thread?
yaani nishindwe kucheka kisa meno yangu haya...huwa najiachia sana wala sijawahi kufikiria kama kuna mtu anakereka na meno yangu...karanga hoyeee...
Hii dental formula kama ya jamaa mmoja mzee wa "kiki" hapa bongoKama hivi?
![]()
ndo tunaita hivyo yameoza ukubwani mie mpaka magego kuanzia la tatu kulia mpaka la mwisho kushoto wala sina presha...Sio meno ya karanga mkuu, ila meno yalioaribika, tazama picha page ya pili ya huu uzi.
Kwa wewe tena bora niugue mimiUnitafunie chakula na kunitemea mpk nitakapo pona, namba yangu, 075712**04
Hahaha! wajukuu zako watakumaindi, wewe watanie tu