Kuota uko unapiga na paper halafu kitu kinakupanikisha

Ntopo Kilebente

Senior Member
Apr 3, 2021
191
246
Nawasalimu kwa mvua.

Nimeona jamaa angu kapost facebook na wengin wakaja na ushuhuda, mimi pia hii hali pia hunitokea. Hivi kwanini mara nyingi huwa naota niko form six na naogopa sitafaulu mtihani wa taifa na imepita miaka kumi. Wakati mtihani niliufaulu tena kwa pointi za kuwekewa rangi asa sijui ni stress tuu
 
Nawasalimu kwa mvua.
Nimeona jamaa angu kapost facebook na wengin wakaja na ushuhuda,mimi pia hii hali pia hunitokea.
Hivi kwanini mara nyingi huwa naota niko form six na naogopa sitafaulu mtihani wa taifa na imepita miaka kumi.Wakati mtihani niliufaulu tena kwa pointi za kuwekewa rangi asa sijui ni stress tuu
Una mhaho au kuna jambo fulani hivi unasitasita kulifanya au kulitolea maamuzi ambalo ni la msingi.. Jambo hilo laweza kuwa la sasa au baadae huko... Jiandae na tafakari vyema hapo kuna mtu anaweza kuja kukutoa nje ya reli ili usitimize jambo lako
 
Yaani mimi mwenyewe huwa naotaga kuwa pepa la necta ya form four imekaribia na sijajiandaa vizuri..na huwa ni ndoto ya kujirudia rudia sana wakati pepa nimelipiga miaka mingi tu iliyopita.

Yeah! Unakuta labda unapiga pepa afu muda umeisha afu umefanya swali moja.
Au muda wa pepa wewe umechelewa.
Au unafika ndio pepa inaisha
Au unakuta huja cover topic
 
Back
Top Bottom