Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Ha haKwa picha hii ndo naanza kumuamini mwalimu wangu wa primary kuwa Mihogo ina kiasi kikubwa cha Wanga, cheki huyo mdada alivyonawiri, bila shaka alikuwa mtumiaji mzur wa Kibandameno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibandameno ndio nini mkuuKwa picha hii ndo naanza kumuamini mwalimu wangu wa primary kuwa Mihogo ina kiasi kikubwa cha Wanga, cheki huyo mdada alivyonawiri, bila shaka alikuwa mtumiaji mzur wa Kibandameno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina flani ya mihogo. Mizuri mno kwa kupikwa na kukaangwa. Ipo mingine yaitwa Ponjoo, ukiitafuna mibichi jina lako tunalianza r.i.p. hio ni kwa ajili ya kuandaa makopa ya ugali tu!
Aina ya mihogo hiyo