Kwa hili jua El-Nino yaja kabisa

Kwa hili jua El-Nino yaja kabisa

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
1,219
Reaction score
2,085
Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani

Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?

Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?

Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.

Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
 
IMG-20261024-WA0141.jpg
 
Umeonaa Mbali K U Kweli....

😂 Mkuu, El Niño ikifika Dar itakuta hata mitaro yenyewe imekata tamaa kwa uchafu! Sisi wa Mbagala hatuogopi mvua pekee, tunaogopa na miundombinu inayoweza kuamua kuogelea nayo. 😂

Lakini kuna kitu cha kujiuliza: kama jua kali ni dalili ya El Niño, mbona hatuoni dalili za watu kuanza kusafisha mitaro? 😅 Tuombe Mungu atuepushe na maafa, lakini na sisi tusimwachie Mungu jukumu la kufagia mifereji! 😂🤝
 
Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani

Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?

Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?

Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.

Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
Watu wa Dar kwa kudeka tu hamjambo, kuna jua gani hapo kwa wakazi wa Dar?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani

Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?

Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?

Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.

Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
We bado dogo janja kwani jua limeanza leo?
 
Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani

Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?

Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?

Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.

Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
Elimu za hapa na pale zinapoanza kuongelea swala la kitaalamu,eti Elnino yaja kabisa!!!

Elnino imeanza Toka mwezi wa tano, na October - December (OND) ndo kilele chake

Hata hii hali tunayopitia ni Elnino,elewa kuwa kwa kawaida Joto la bahari Pacific linapopanda kuliko kiwango chake cha kawaida ,Hali hii huathiri mifumo ya Hali ya hewa duniani kote,na Moja ya matokeo yake kwa sisi afrika mashariki ni mvua kubwa kupitia kiasi,lakini hii sio kanuni ,Kuna wakati inaweza kuwa ukame kama tunavyo shuhudia kwa sasa.
 
TMA ya CCM haijui hata kama El Nino ni mvua, upepo wa kimbunga, tetemeko la ardhi, ukame, radi au barafu kali
 
Elimu za hapa na pale zinapoanza kuongelea swala la kitaalamu,eti Elnino yaja kabisa!!!

Elnino imeanza Toka mwezi wa tano, na October - December (OND) ndo kilele chake

Hata hii hali tunayopitia ni Elnino,elewa kuwa kwa kawaida Joto la bahari Pacific linapopanda kuliko kiwango chake cha kawaida ,Hali hii huathiri mifumo ya Hali ya hewa duniani kote,na Moja ya matokeo yake kwa sisi afrika mashariki ni mvua kubwa kupitia kiasi,lakini hii sio kanuni ,Kuna wakati inaweza kuwa ukame kama tunavyo shuhudia kwa sasa.
Naam, elimu ya hapa na pale ya mtoa mada kwenye moja na mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom