mama chanja
Member
- Jan 1, 2016
- 67
- 67
Habari za siku nyingi ndugu zangu.,
Nilikua na swali kidogo kuhusu hii ishu ya kuogeshewa na mfedha fedha...
Nimekua nikiskia sana kuhusu hii ishu lakini sijaelewa haswa;
maana yake
nia na lengo la kuogeshwa huo mfedha
na jinsi ya kuoshwa na huo mfedha fedha.
Mana juzi niliambiwa na rafiki yangu kaogeshwa na huo mfedha akanielekeza jinsi alivyofanyiwa sema nikaona kama sijamuelewa ananichanganyia tu habari..
Kwa mwenye kujua,kufahamu anaeelewa naomba muongozo na muelekezo kuhusu huo mfedha fedha.
Ps; humu ndani mnapenda sana matusi na kudhihaki..kwahyo tafadhali kabisaaa kabisa
Mshanajr na wengne pls help!!
Nilikua na swali kidogo kuhusu hii ishu ya kuogeshewa na mfedha fedha...
Nimekua nikiskia sana kuhusu hii ishu lakini sijaelewa haswa;
maana yake
nia na lengo la kuogeshwa huo mfedha
na jinsi ya kuoshwa na huo mfedha fedha.Mana juzi niliambiwa na rafiki yangu kaogeshwa na huo mfedha akanielekeza jinsi alivyofanyiwa sema nikaona kama sijamuelewa ananichanganyia tu habari..