VendoPatrick
Member
- Jun 12, 2016
- 15
- 5
Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
Mhhh hili jibuMadaktari wanaogopa kukwambia lakini kwa kiwango hicho wewe basi tafuta kazi nyingine ya kufanya.!
Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
Moja kama umefikia hatua ya kwenda kupima , basi lazima ulikuwa na shaka . Na ni kweli huzalishi mbengu kwa kiwango hicho cha hormones . PoleNdugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
Duuuuuuh 270 af jamaa ana 9.74 kweli ana tatizo aiseee.... Jamaa tafuta hata mtoto wa kuasili tuuFor a male of your age the range for testosterone levels is 270-1,070 ng/dl (Average being 670ng/dl) !!! And for 6 month - 9 yrs male the range is 7-20 ng/dl in which it's where you lie !!! You need to undertake appropriate consultation !!!!
Nani kakuambia testosterone ni hormone zinazohusika na kuzaa. Hizo ni hormone zinazohusika na uchochezi wa wewe kufanya tendo la ndoa, Kama ulitaka kupima uwezo wako wa kuzaa ungeenda kupima sperms hizo. Waone ka zimekomaa na ziko vizur au kuna uwalakini. Anyways range ya 9.7 hiyo itakua out of 10. Kwa maana testosterone zako ziko vizuri.Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
For a male of your age the range for testosterone levels is 270-1,070 ng/dl (Average being 670ng/dl) !!! And for 6 month - 9 yrs male the range is 7-20 ng/dl in which it's where you lie !!! You need to undertake appropriate consultation !!!!
Duuuuuuh 270 af jamaa ana 9.74 kweli ana tatizo aiseee.... Jamaa tafuta hata mtoto wa kuasili tuu
Muulize huyo Dr alikupima na kukupa hayo majibu.Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
Ndugu zanguni mimi ni mwanaume wa miaka 32 ninataka kuoa nimepima hormone ya testosterone ili nijue kama ninaweza kumzalisha mwanamke na kipimo kinaonesha 9.74ng/ml. Hii ina maana gani? Naomba msaada.
Jamani Kweli PURE MATHEMATICS muliiona Ngumu! Basi Mpaka Chemistry Ya Form II inapiga chenga Kiasi Hichi???
Hivi Ni Kweli Hamkujua Kutofautia Katika Ya ng/ml na ng/dl??