Kuongezeka kina Masaburi ghafla ndani ya mwezi.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Sijui kama ni mimi tu lakini kuanzia mwezi huu wa nane nimeanza kusikia sana watu wenye majina haya zaidi ya muda wote maishani mwangu,

ukikaa Bar utasikia 'we Masaburi tuu utaniambia nini' ?

ukipita mitaani utasikia kijana anamtongoza binti 'achana na yule Masaburi bana mambo yote kwangu'

ofisini utasikia 'huyu bosi Masaburi tu anatusumbua sana'

kwenye daladala utasikia 'we konda acha Umasaburi hebu nipe chenji yangu'

Nauliza hivi hawa walikuwa wapi miaka yote hii nilikuwa siwasikii.
 
Sifa mojawapo ya Lugha ni kuwa, Lugha inakuwa na lugha inakufa.
Kuna kpnd kujiuzulu tulitumia sana neno kuj-LOWASA nowdayz tunatumia kuj-Rostam. BAKITA wanapaswa Masabur waliingze ktk kamus mpya.
 
Bwana masaburi aliposema wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio sidhani alifahamu itakuja kuchafua jina lake na ukoo mzima wa Masaburi kiasi hiki,lazima anajutia kauli yake ile.
 
Watu walizua ukapa ukihiyo toka kwa mbunge wa zamani Temeke kumkolimba msululu ni mrefu na wewe jazia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom