Kuongeza kuona njia zipi nitumie

Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,368
Likes
642
Points
280
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,368 642 280
habari wadau, mimi nina matatizo ya macho kitaalam very short sighted- high myopia keratucones kiasi cha kwamba siwezi kusoma au kuona fasaha bila msaada wa miwani yenye lenz nene....kwa kweli tatizo hili limeniathiri sana kisaikolojia hasa kujiamini, je kuna dawa/njia/vyakula/mbinu zozote naweza kufanya kuongeza uwezo wa kuona wa macho yangu, naomba michango yenu wadau natanguliza shukran
 
Columbus

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
2,009
Likes
29
Points
135
Columbus

Columbus

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
2,009 29 135
Acha kuangalia pornographic material uwezo wa kuona uatrudi pake.
 
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
7,191
Likes
4,526
Points
280
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
7,191 4,526 280
Pole sana Mkuu,nina tatizo kama lako na huu ni mwaka wa 10 navaa miwani ambayo mtu mwenye macho ambayo si mabovu hii miwani hakai nao hata sekunde 2 lakini unaposema kuwa unashindwa kujiamini sijakuelewa vizuri mkuu.
 
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,368
Likes
642
Points
280
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,368 642 280
Pole sana Mkuu,nina tatizo kama lako na huu ni mwaka wa 10 navaa miwani ambayo mtu mwenye macho ambayo si mabovu hii miwani hakai nao hata sekunde 2 lakini unaposema kuwa unashindwa kujiamini sijakuelewa vizuri mkuu.
kuna baadhi ya vitu/kazi hukosea kufanya kwa ufanisi kwa kushindwa kuona vizuri.......mkuu kwa kipindi hicho cha miaka 10 uwezo wako kuona unaongezeka au kupungua? Na umefanyia nini kuboresha uwezo huo
 
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
7,191
Likes
4,526
Points
280
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
7,191 4,526 280
kuna baadhi ya vitu/kazi hukosea kufanya kwa ufanisi kwa kushindwa kuona vizuri.......mkuu kwa kipindi hicho cha miaka 10 uwezo wako kuona unaongezeka au kupungua? Na umefanyia nini kuboresha uwezo huo
Mkuu mimi natakiwa kuvaa miwani all the time since inanisaidia na navaa wakati wote ni ngumu kung'amua hilo. Unadhani ukivaa miwani kipindi unafanya hzo kazi kutakuwa na tatizo la kiafya?
 
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,368
Likes
642
Points
280
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,368 642 280
mkuu rogie, hata mie navaa all the tym, but uwezo sio sawa na mtu mwenye kuona sawia
 
I

isele

Member
Joined
Feb 15, 2012
Messages
18
Likes
0
Points
3
I

isele

Member
Joined Feb 15, 2012
18 0 3
Kuna kijarida classmate wangu kapewa na Dr hapa India juu ya macho na mambo mengine , labda nawe yaweza saidia.
Nacopy
1.Fill water in the cup, dip eye and blink for 100 times, Repeat this process in the next eye.
2.Cotton pads dipped in cold milk placed on the closed eyes for 15minutes,

Repeat many many times

Hiyo inasaidia, try it!
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,608
Likes
35
Points
135
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,608 35 135
Mkuu Hercule Poirot, pole..

Umri? Je kazi yako huusisha vitu/mahali penye mwanga sana mf. Computer, welding,?
-Tatizo unalo kwa muda gani sasa(ni lini uligundua tatizo hilo) na kwa njia ipi?
-Je, kuna ushauri/tiba yeyote uliopewa? Kulikuwa na maendeleo yeyote(assuming you had treatment,counselling)?
 
Last edited by a moderator:
L

lukme

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Messages
191
Likes
3
Points
0
Age
37
L

lukme

Senior Member
Joined Apr 18, 2012
191 3 0
Is this true? kudumbukiza jicho kwenye maji afu u blink x 100?
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
85
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 85 135
Nilikuwa na tatizo kama lako miaka kama 7 iliyopita nilikuwa pia nimeshaanza kuvaa miwani nilipewa pale CCBRT Dsm, kilichonisaidia ni maji tu. Kila kitu mwilini ufanyaji kazi na ufanisi wake hutegemea na upatikanaji wa maji mwilini. Kwa hiyo nikaongeza kiasi cha maji nilichokuwa nakunywa nikawa nakunywa kila siku lita tatu na nusu katika nyakati tofauti tofauti siku nzima, nilikuwa nikitafuna pia chumvi ya mawe mara 2 au tatu kwa siku, nikaongeza salads walau mara 2 kwa siku ilikuwa lazima niandae salad, kwa wasiojuwa salad ni mchanganyiko wa vitu vibichi/kachumbari vifuatavyo:
1. Nyanya
2. Kitunguu maji
3. Karoti
4. Pilipili hoho
5. Tango
6. Lettuce
7. Ndimu(maji yake una kamulia kidogo)
8. Chumvi n.k

Mpaka sasa mi sisumbuliwi na macho tena na huwa nakaa katika komputer masaa mengi sana katika siku lakini hakuna jicho linalonisumbua.

NB: Nitakuandalia maelezo mengine ya kutosha kufafanua dhana hii kwanini maji yanapopunguwa mwilini macho pia huathiriwa, muda wowote nitaleta hayo maelezo hapa.
 
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
1,624
Likes
51
Points
145
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
1,624 51 145

Well said fadhili tena akiongeza juis ya nanasi iliyochanganywa na karoti, embe na pia akawa anakula mchicha pamoja na hiyo kachumbari bila shaka ataona matokeo mazuri.
 
Last edited by a moderator:
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,368
Likes
642
Points
280
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,368 642 280
wadau nashukuru kwa michango yenu, ushauri wenu naanza kuufanyia kazi
 
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
579
Likes
107
Points
60
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
579 107 60
This will help much kasoro lile la mpuuzi mmoja aliyekushauri uache kuangalia pono, sio kosa lake maana aliwazalo mjinga ndio alisemalo.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,709
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,709 280
Salads au kachumbari kula kwa wingi zaidi. Badala ya mboga za majani ambazo huwa overcooked kula kachumbari kila siku.

Tafuta pia mafuta ya samaki. Nilivaa miwani nikiwa high skuli, lakini nilisaidiwa na vidonge vya vitamin A (zilikuwa suppliments za gnld nadhani). Na hayo mafuta ya samaki (7seas wanayo mazuri flavoured na machungwa hayana harufu mbaya). Sasa sivai miwani kabisa.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,673
Likes
3,543
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,673 3,543 280
Salads au kachumbari kula kwa wingi zaidi. Badala ya mboga za majani ambazo huwa overcooked kula kachumbari kila siku.

Tafuta pia mafuta ya samaki. Nilivaa miwani nikiwa high skuli, lakini nilisaidiwa na vidonge vya vitamin A (zilikuwa suppliments za gnld nadhani). Na hayo mafuta ya samaki (7seas wanayo mazuri flavoured na machungwa hayana harufu mbaya). Sasa sivai miwani kabisa.
King'asti umenena vyema, but huyu mkuu anatakiwa ajue kwamba kwake yeye tatizo ni kubwa zaid. hivyo lazima ajitahidi sana kuikubali hiyo hali. akibadili saikolojia yake basi ataweza kuona hata hiyo miwani inamsaada kwake.

otherwise kula vit A kunasaidia sana sana na hata kwenye salad akiweka olive oil ili aweze ku extract vit a kwa wingi ingempa msaada.
 
Last edited by a moderator:
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,080
Likes
35
Points
145
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,080 35 145
habari wadau, mimi nina matatizo ya macho kitaalam very short sighted- high myopia keratucones kiasi cha kwamba siwezi kusoma au kuona fasaha bila msaada wa miwani yenye lenz nene....kwa kweli tatizo hili limeniathiri sana kisaikolojia hasa kujiamini, je kuna dawa/njia/vyakula/mbinu zozote naweza kufanya kuongeza uwezo wa kuona wa macho yangu, naomba michango yenu wadau natanguliza shukran
pole sana mkuu,nina tatizo kama lako na huu ni mwaka wa 10 navaa miwani ambayo mtu mwenye macho ambayo si mabovu hii miwani hakai nao hata sekunde 2 lakini unaposema kuwa unashindwa kujiamini sijakuelewa vizuri mkuu.
Poleni sana, ugonjwa sio laana, ni matatizo ya kimaumbile, kila mtu ni mlemavu au mgonjwa mtarajiwa.

Tiba:- tiba ya magonjwa mengi hasa ya aina hiyo sio hospital. Ni vyakula. Kuleni vyakula vya vitamini A zaidi. Suop ya mchicha na mchicha wenyewe usiive saana, spinach na other green vegetables. Samaki wa baharini and other see foods. Samaki aidha wa kuchoma au kuchemsha au kukaanga, wasiive saana. Tumieni kwa muda mrefu sana, iwe ni mazoea yenu kwa sababu ugonjwa wenu ni wa muda mrefu pia. Kuleni vitu hivyo mara tatu kwa siku ili kupata ufumbuzi wa haraka zaidi. Mwisho kabisa fanyeni mazoezi hasa ya kukimbia tu kila siku maana yake hufanya damu kuzunguka mwili mzima. Na msitumie miwani ila pale panapo dharura ya kufanya hivyo.
 
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
7,191
Likes
4,526
Points
280
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
7,191 4,526 280
Poleni sana, ugonjwa sio laana, ni matatizo ya kimaumbile, kila mtu ni mlemavu au mgonjwa mtarajiwa.

Tiba:- tiba ya magonjwa mengi hasa ya aina hiyo sio hospital. Ni vyakula. Kuleni vyakula vya vitamini a zaidi. Suop ya mchicha na mchicha wenyewe usiive saana, spinach na other green vegetables. Samaki wa baharini and other see foods. Samaki aidha wa kuchoma au kuchemsha au kukaanga, wasiive saana. Tumieni kwa muda mrefu sana, iwe ni mazoea yenu kwa sababu ugonjwa wenu ni wa muda mrefu pia. Kuleni vitu hivyo mara tatu kwa siku ili kupata ufumbuzi wa haraka zaidi. Mwisho kabisa fanyeni mazoezi hasa ya kukimbia tu kila siku maana yake hufanya damu kuzunguka mwili mzima. Na msitumie miwani ila pale panapo dharura ya kufanya hivyo.
Mkuu ahsante kwa ushauri wako..najitahidi kufanya hayo kwa wingi lakini, tatizo hasa ni kuwa Iris moja ni ndogo kuliko nyingine na hata vioo vya miwani yangu vina nguvu tofauti.
 
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,080
Likes
35
Points
145
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,080 35 145
mkuu ahsante kwa ushauri wako..najitahidi kufanya hayo kwa wingi lakini, tatizo hasa ni kuwa iris moja ni ndogo kuliko nyingine na hata vioo vya miwani yangu vina nguvu tofauti.
Mkuu nadhani unalazimika kukutana na specialist wa macho. Wasikilize na nivizuri utafute zaidi ya mmoja katika location tofauti tofauti.
 
Black ma colour

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
555
Likes
206
Points
60
Black ma colour

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
555 206 60
1.kunywa maji mengi kwa siku hata lita 2 na nuxu au tatu.
2.kula karoti mbichi kwa wingi.
3.kula mboga mboga na matunda
4.NENDA HOSPITALI HARAKA MNO B4 TATZO HALIJWA KUBWA
 
Forum statistics

Threads 1,235,492
Members 474,615
Posts 29,224,278