Kuonekaana kwa kimbali baada ya kutoka.

mwilongo Aron

Senior Member
Oct 15, 2014
106
51
Wadau Habari za leo?

Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka.

Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni siku 20 zimepita ila akitumia UPT kupima inaonesha positive results.

Naomba kuuliza kuwa mimba iliyotoka inaweza kuuendelea kuonesha positive au nini kinaendelea hapa? '
 
Mimba haipo hapo kaka ni protin kama sikosei imeonesha u positive
 
Siku 20 mbona nyingi???
Rudini kwa hosptl......mlifanya utrasound????
Tulifanya utra sound na kitu ikaonesha hakuna chochote
3a3fd3c24e1e273dfce2283d60b745fe.jpg
 
Tulifanya utra sound na kitu ikaonesha hakuna chochote
3a3fd3c24e1e273dfce2283d60b745fe.jpg
Inategemea na umri wa mimba..

Baadhi ya wataalam wanasema from 4-6 weeks... (wengine it only took up to 19 days toka miscarriage )

Ila mnaweza rudi hospitali ili.muwe na amani zaidi

Ila bhcg levels hupungua taratibu.....hata akipima sasa si kipimo kipo faint????
 
Asante mkuu, japo leo jioni ameanza kupata hedhi ila maumivu ya kiuno ni makali sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom