mwilongo Aron
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 106
- 51
Wadau Habari za leo?
Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka.
Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni siku 20 zimepita ila akitumia UPT kupima inaonesha positive results.
Naomba kuuliza kuwa mimba iliyotoka inaweza kuuendelea kuonesha positive au nini kinaendelea hapa? '