dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,855
- 61,913
😂 😂 😂 😂wewe irudishe ulikoitoa
😂 😂 😂 😂wewe irudishe ulikoitoa
Pole sana, ndio mambo ya mjini hayoUwezekano mkubwa Naye aliipiga sehemu akaona aniingize mjini Mimi!!
Bro rudisha kifaa cha watu kejeli matusi havita saidia na ukizingizingua zaidi utafuatiliwa ukajibu wapi uliko itoa ukiwa nyuma ya nondoCraps!!
Naona sioni mwenye suluhisho maana kila mmoja anasema kivyake Mara Mimi nimeiba hivyo nimrudishie mwenyewe Mara niwape watoto wachezee na maneno mengi yasiyo na staha.Mimi nilitaka kujua kama kuna mtu anaweza kuitoa au haiwezekani cha ajabu nimejibiwa na watu wasiojua kama inatoka au haiwezi kutolewa na kwa nini inatoka na kwa nini Haitoki.
Hiyo ni ya wizi hiyo......acha wizi mkuuNaona sioni mwenye suluhisho maana kila mmoja anasema kivyake Mara Mimi nimeiba hivyo nimrudishie mwenyewe Mara niwape watoto wachezee na maneno mengi yasiyo na staha.Mimi nilitaka kujua kama kuna mtu anaweza kuitoa au haiwezekani cha ajabu nimejibiwa na watu wasiojua kama inatoka au haiwezi kutolewa na kwa nini inatoka na kwa nini Haitoki.
Naona sioni mwenye suluhisho maana kila mmoja anasema kivyake Mara Mimi nimeiba hivyo nimrudishie mwenyewe Mara niwape watoto wachezee na maneno mengi yasiyo na staha.Mimi nilitaka kujua kama kuna mtu anaweza kuitoa au haiwezekani cha ajabu nimejibiwa na watu wasiojua kama inatoka au haiwezi kutolewa na kwa nini inatoka na kwa nini Haitoki.
Nilichokuwa nataka kujua mimi ni kama inatoka au haitoki na kwa nini haitoki na hii inataka mtu mwenye uelewa si tu kukurupuka na majibu mepesi mepesi!!!.wanajua fika haitoki ndo maana wamekujibu hivo. Yaani hata kujiongeza hujui mkuu