Oooh sawa mamsiKuna content create wa Instagram ni mtu wa chuga hua anapenda kutumia hilo neno mamsi akimaanisha mwanamke
Bukavu ni ( mkongo)
So unaweza kuta anamuta mwenzie Bigii ile mamsi nimeipakia bukavu
Aisee sijui kwanini wadada wana ji stress kiasi hichokuna mambo yanakuwa nje ya uwezo wa binti,
unamlazimisha mtu akuchumbie, anazuga kukuvalisha pete ya uchumba, anaendelea kukutafuna na mwisho wa siku anaku dump shwaaaaaaaa.
Poleni endeleeni kutoa you never knowAcha kabisa mkuu, ndiomana stroke inatupata sisi tu.
Sawa jombaaOooh sawa mamsi
Aisee..Poleni endeleeni kutoa you never know
One day kitu kika tiki
Njee ya mada why nyani wa somangaAisee..
Ngoja nimpange tu yule nikijifanya naiomba sana ntapitisha weekend bila kupiga.Mtu huomba kitu ambacho ana uhitaji nacho sana na hana kwa wakati huo so hulazimika kuomba
Sasa itatokana nae sasa anataka nini
Una mpangaje sasaNgoja nimpange tu yule nikijifanya naiomba sana ntapitisha weekend bila kupiga.
Labda alilipiwa ungempa tu 😁Nimemkumbuka rafiki yangu aliweka status yupo kwenye show ya Davido na Slay queens wenzake, kesho asubuhi anaomba nimtumie 10k nikamwambia sina tokea siku hiyo urafiki umekufa😂
Sasa starehe za kulipiwa unawekaje statusLabda alilipiwa ungempa tu 😁
Acha basi kua serious dah nimecheka aiseee😁😁Sasa starehe za kulipiwa unawekaje status
Huombagi namba wewe?Kwa nini niombe? Niombe nini kwanza, labda niombe niishie hapa
Nilivyomjibu sina hakunijibu tena mpaka kesho hata status sizioni tena na uhakika kafuta namba zangu😂Acha basi kua serious dah nimecheka aiseee😁😁
Mtu asishtue watesi
Namba za nini ephenHuombagi namba wewe?
Za viatuNamba za nini ephen
Haina formula hiyoUna mpangaje sasa
Jina lako lina sound kama mpole ila we mkorofiiiiNilivyomjibu sina hakunijibu tena mpaka kesho hata status sizioni tena na uhakika kafuta namba zangu😂