Kuomba na kunyimwa?

Mtoto cheupe ametapanya vyangu lakini Kadinda.
Weekend imenianzia vibaya sana wakuu.
 
Mimi huwa naomba. Naomba kila kitu! Si tuliambiwa ombeni mtapewa! Na huwa nanyimwa!


Ndiposa BWANA WA MAJESHI anapojitokeza. Mungu wetu hapendi kushea utukufu. So he will wait you fail everywhere!

BWANA YESU ASIFIWE SANA!
 
PETE ZA UCHUMBA SUGU. KUNA DADA MMOJA ALIVAA PETE YA UCHUMBA KWA MUDA MREFU HADI AKAAMUA KUIVUA. SIJUI ALIJIVALISHA MWENYEWE YULE DADA.
Hii sasa kali
hivi peta ya uchumba hua inamaana gani sasa coz unaivaa unajichoresha still unaacwa
 
Hii sasa kali
hivi peta ya uchumba hua inamaana gani sasa coz unaivaa unajichoresha still unaacwa
kuna mambo yanakuwa nje ya uwezo wa binti,
unamlazimisha mtu akuchumbie, anazuga kukuvalisha pete ya uchumba, anaendelea kukutafuna na mwisho wa siku anaku dump shwaaaaaaaa.
 
Ndio kina nan tena huko daslamu ? Hilo neno linatumika mikoa ya kaskazini na Nairobi Kenya kumaanisha msichana
Kuna content create wa Instagram ni mtu wa chuga hua anapenda kutumia hilo neno mamsi akimaanisha mwanamke
Bukavu ni ( mkongo)
So unaweza kuta anamuta mwenzie Bigii ile mamsi nimeipakia bukavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…