Kuomba na kunyimwa?

iliisha powa

sema jamaa ndo alikuwa mtu wa karibu kumaliza hiki kipengere ila alichomoa kabisa

ila muumba ni mwema liliisha kipengere ni huu msala nilio nao maana ni wa moto sana
Huo nao utaisha kwa neema ya Mungu.
Kama mtu wa karibu amekuweka kwenye msala mkubwa si mwema kwako kamwe.
 
iliisha powa

sema jamaa ndo alikuwa mtu wa karibu kumaliza hiki kipengere ila alichomoa kabisa

ila muumba ni mwema liliisha kipengere ni huu msala nilio nao maana ni wa moto sana
Polee mkuu ukisikia watu wabaya ndio hii
 
Kipendacho rohooo mkuu
Haya maisha ni muhimu sana kuwa na options nyingi kwenye kila. Ukiwa na option moja tu mambo yako mengi yatakwama. Hata huyo ambae anajua unategemea kwake na hauna option nyingine lazima atataka kuku-control
 
Very true 📌
Leo unaongea madini tupu
 
Ingia kwenye network upewe kabla hujaomba.

Yani kuna shefa lina fedha kama za mafuta, lina machale kaa Saddam Hussein hilo, kabla wewe hujajua unahitaji nini lenyewe lishakujua na kukupatia 😂😂
 
Eeh unasema ?
Hebu hiyo network basi🤪
Yani kuna shefa lina fedha kama za mafuta, lina machale kaa Saddam Hussein hilo, kabla wewe hujajua unahitaji nini lenyewe lishakujua na kukupatia 😂😂
Liko wapi sasa acha kuandikia mate basi🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…