ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,060
- 40,286
Endelea kuabudu sabuni mpka huo ukuni utepete misuliMala nyingi naumiaga pale naponyimwa halafu nikicheki bafuni maji hamna sabuni pia hamna,,, aisee hapo nitakasilika. Lakini kama vipo hivyo viwili sihangaiki naenda kuoga
Kupambana tu ili tupunguze kujielezaYaani ila yote maisha
Kaka, bora nikupe zangu uendelee nae kuliko mimi, kudumbukiza ulipodumbukiza..Kaka,
Wala usiwaze😅😅binafsi nimechoka sana, nguvu zilizobaki ni za kuendea msalani tu!
Siwezi kuacha, ila wewe nimekuachaKumbe hujaacha tu🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mbali saaaana 😂🤣 muulize kibuzi chako anajua mwenyewe..🤣🤣🤣🤣🤣 Weeeeeh! Mmetoka wapi?
Hawezi, aliwahi kuniambia hana nguvu za kiume mpaka akutane na ww, kifupi ww ndio VIAGRA wakeHebu muache asijejing'ata. Yuko mahali anatumika.
😂😂🤣🤣 hapana, nikikupa nafasi ww utaniteka, nakujua vitu vyako, unaifinyia kwa ndani, napukuta suruali yangu..🤣🤣🤣🤣
Weeeh! Mbona ghafla sana? Subiri kwanza nijiandae.
🤣🤣🤣🤣🤣Sabato imeanza mama, kuwa mtulivu😅
🤣🤣🤣🤣Unajizima data ona magari yamegongana
Umeniacha wapi? Kwani tulikuwa tunakwenda wapi🤣Siwezi kuacha, ila wewe nimekuacha
Kuwa na adabu we mtoto!! Kibuzi??????????Mbali saaaana 😂🤣 muulize kibuzi chako anajua mwenyewe..
Makapuki haijawa makapuku.
Mbona anasema hakufahamu?Hawezi, aliwahi kuniambia hana nguvu za kiume mpaka akutane na ww, kifupi ww ndio VIAGRA wake
😳😳😳😳😂😂🤣🤣 hapana, nikikupa nafasi ww utaniteka, nakujua vitu vyako, unaifinyia kwa ndani, napukuta suruali yangu..
We ndio mwanamke pekee niliyewahi KUMPA VYOTE AKAVIMALIZA, KISHA NIKAMPA FIMBO YA MUSA, AKAIKALIA YOOTE ..
we mamba kabisa, zaidi ya kiboko 😂🥰
Hahaha mkuu noma sana, hata jamaa wanaogombania kipapa wana kazi sana😅Kaka, bora nikupe zangu uendelee nae kuliko mimi, kudumbukiza ulipodumbukiza..
Hii ni laana sumaka 😂🤣
Usisubiri wanitupe, njoo sasa hivi mjukuu. Hata hivyo sijashikwa mkono na mjukuu mda sana😅Nasubiri wakutupe nikuokote niwe na kupeleka msalani
fungua moyo wako na uombe vizuri bila kuchoka, anaangalia dhamira ya moyo wako dhidi ya uombacho 🐒Naomba 100k mdau nina kipengere
Amen
🐒
Washamba hao.. kipapatilo cha kuki, hakigombewi. 😂🤣Hahaha mkuu noma sana, hata jamaa wanaogombania kipapa wana kazi sana😅