ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Tuvitu vitu yaani.Hahahaha kama vipi shindii?
Mjukuu unachekelea majanga yangu eeh?
Nyoo humjui, unataka kutuchanganya..Ndio nani huyo?
Hili mbona liko wazi kama tupu ya kuku wakati wa KIPUPWE 😂Heeeeh! Umefikaje huku tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kuna nini kwani😀Mjukuu unachekelea majanga yangu eeh?
Usiseme hivyo jamani😢Nyoo humjui, unataka kutuchanganya..
Mie najiweka kando.
Bora niwe naugegeda mkono mpaka utoke sugu, kuliko kumixiwa na ndugu yangu
😀😀Hili mbona liko wazi kama tupu ya kuku wakati wa KIPUPWE 😂
Ushaanza kunywa visungura eeh!! Unamixiwa wapi tena?Nyoo humjui, unataka kutuchanganya..
Mie najiweka kando.
Bora niwe naugegeda mkono mpaka utoke sugu, kuliko kumixiwa na ndugu yangu
Lipi tena!!Hili mbona liko wazi kama tupu ya kuku wakati wa KIPUPWE 😂
Hata sielewi🤣🤣🤣Kuna nini kwani😀
Uliomba nini mahi🤣Ila kuomba na kunyimwa ni aibu kweli kweli. Nimekoma😀
Haya rudi kwa babuHata sielewi🤣🤣🤣
Acha tu Mahi, siku hizi unaomba unanyimwa halafu unanuniwa. Aliekunyima nae pia anaona aibu. Yaani wote mnaona aibu hadi mnanuniana😀😀Uliomba nini mahi🤣
🤣🤣🤣 Babu gani tena?Haya rudi kwa babu